Kesho itakuwa kipimo tosha kwa uhuru wa vyombo vya habari nchini

Yaani watz hasa nyumbu ni shida sana yaani maswala ya Maandamano yamepotea kabisa! Leo nilitegemea Lissu angeongelea Maandamano yaliyofeli lakini amekuja na issue nyingine kabisa na nyumbu wameshaidandia kwa mbele.
Tatizo mwenyekiti wenu anayejitia uchamungu kwa mavazi ni mrevi wa kupindukia
 
Waandaaji Wa Habari Wa UTV (Azam Tv) Ni MACHAWA Waliokubuhu, Vyombo Vyote Vya Habari Vimeripoti Press Ya Lissu Ya Leo Kuwa Lissu Amesema Anaishtaki Tigo Na Serikali Ya Tanzania Kuhusu Jarabio La Kumuua

UTV Wao Wanaripoti Kuwa Lissu Leo Amesema Ameitwa Aripoti Polisi Jumatatu..!!
 
Mimi siko katika kundi hilo ila watawala wanawatumia watu ambao bado wanasoma vichwa vya magazeti kwenye meza za wauza magazeti na kiviamini
 
ITV Habari Saa 2 usiku wameitendea HAKI hadhira..habari ya Lissu imepewa muda wa kutosha tu..Kudos to ITV team
Ndio maana ni Super Brand TV wanawapa hadhira taarifa zote husika. Vyombo vingine vya habari ni kama vya familia au mlengo fulani maana hata utekaji na mauaji yanayotokea hawatangazi wao ni kusifia tu basi.
 
Sasa wewe unataka uwapangie za kuripoti anzisha na wewe TV yako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…