MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Tuseme kesho Tundu Lissu ameamka kaupata Urais, ni kipi ataanza nacho kuhusu Muungano?
Akiwa na Salama kwenye kipindi cha mkasi alidai Tanganyika tunaiibia Zanzibar sasa hivi msimamo wa gwiji hili la sheria umebadilika kutokana na elimu ya siasa ambayo amekuwa akiitoa kwenye mikutano ya CHADEMA.
Anadai Wazanzibar wanatunyonya vilivyo kwenye Muungano.
Napata wasiwasi Lissu atafanya nini kuhusu muungano hapo mwaka 2025.
PIA SOMA
- Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?