Pre GE2025 Kesho Lissu akiwa Rais unadhani ni kipi cha kwanza atafanya kuhusu Muungano?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tuseme kesho Tundu Lissu ameamka kaupata Urais, ni kipi ataanza nacho kuhusu Muungano?

Akiwa na Salama kwenye kipindi cha mkasi alidai Tanganyika tunaiibia Zanzibar sasa hivi msimamo wa gwiji hili la sheria umebadilika kutokana na elimu ya siasa ambayo amekuwa akiitoa kwenye mikutano ya CHADEMA.

Anadai Wazanzibar wanatunyonya vilivyo kwenye Muungano.

Napata wasiwasi Lissu atafanya nini kuhusu muungano hapo mwaka 2025.
Wazanzibari watamuunga Sana mkono Lissu maana hata wao huu muungano wa mchongo hawautaki
 
Tuseme kesho Tundu Lissu ameamka kaupata Urais, ni kipi ataanza nacho kuhusu Muungano?

Akiwa na Salama kwenye kipindi cha mkasi alidai Tanganyika tunaiibia Zanzibar sasa hivi msimamo wa gwiji hili la sheria umebadilika kutokana na elimu ya siasa ambayo amekuwa akiitoa kwenye mikutano ya CHADEMA.

Anadai Wazanzibar wanatunyonya vilivyo kwenye Muungano.

Napata wasiwasi Lissu atafanya nini kuhusu muungano hapo mwaka 2025.
Awe Rais wa nini? Au rais wa vitu gan?
 
kwanza kabisa hiyo haitakuja kuwahi kutokea Tanzania. Itoshe tu ile ya bahati mbaya pale TLS 🐒
 
Back
Top Bottom