MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Unasaga Sumu 😀 😀 😀Tuseme kesho Tundu Lissu ameamka kaupata urais, ni kipi ataanza nacho kuhusu Muungano?
Akiwa na Salama kwenye kipindi cha mkasi alidai Tanganyika tunaiibia Zanzibar sasa hivi msimamo wa gwiji hili la sheria umebadilika kutokana na elimu ya siasa ambayo amekuwa akiitoa kwenye mikutano ya Chadema. Anadai Wazanzibar wanatunyonya vilivyo kwenye muungano.
Napata wasiwasi Lissu atafanya nini kuhusu muungano hapo mwaka 2025.
Atarejesha serekali ya Tanganyika na kama ni lazima kuwepo na muungano, basi yatafanyika marekebisho makubwa na huu muungano utakuwa Bora zaidi ya hivi ulivyo.Tuseme kesho Tundu Lissu ameamka kaupata urais, ni kipi ataanza nacho kuhusu Muungano?
Akiwa na Salama kwenye kipindi cha mkasi alidai Tanganyika tunaiibia Zanzibar sasa hivi msimamo wa gwiji hili la sheria umebadilika kutokana na elimu ya siasa ambayo amekuwa akiitoa kwenye mikutano ya Chadema. Anadai Wazanzibar wanatunyonya vilivyo kwenye muungano.
Napata wasiwasi Lissu atafanya nini kuhusu muungano hapo mwaka 2025.
Kwamba mtoa mada ni salama 7😂😂Salama, usiwe unapenda kukumbuka kimoja fatilia kwa undani alichosema kwenye kipndi chako cha mikasi kipindi kile kikoje na sasa nikoje....tumia macho yote mbili
Siku ya Kwanza atamualika Thomas Sankara kuja Tanganyika.Tuseme kesho Tundu Lissu ameamka kaupata Urais, ni kipi ataanza nacho kuhusu Muungano?
Akiwa na Salama kwenye kipindi cha mkasi alidai Tanganyika tunaiibia Zanzibar sasa hivi msimamo wa gwiji hili la sheria umebadilika kutokana na elimu ya siasa ambayo amekuwa akiitoa kwenye mikutano ya CHADEMA.
Anadai Wazanzibar wanatunyonya vilivyo kwenye Muungano.
Napata wasiwasi Lissu atafanya nini kuhusu muungano hapo mwaka 2025.
Kwani shida yake ni kuwafukuza au kuwa na haki sawa bila ubaguzi?Atawafukuza wazanzibari wote wanaoishi bara
LISU HANA SHIDA NA MUUNGANO YATIZO TANGANYIKA NDO HAIPO UNAPASWA KUWA MUUNGANO WA SERIKALI TATU AU LA UWE WA SERIKALI MOJA ZANZIBAR NAYO IFE KM TANGANYIKATuseme kesho Tundu Lissu ameamka kaupata Urais, ni kipi ataanza nacho kuhusu Muungano?
Akiwa na Salama kwenye kipindi cha mkasi alidai Tanganyika tunaiibia Zanzibar sasa hivi msimamo wa gwiji hili la sheria umebadilika kutokana na elimu ya siasa ambayo amekuwa akiitoa kwenye mikutano ya CHADEMA.
Anadai Wazanzibar wanatunyonya vilivyo kwenye Muungano.
Napata wasiwasi Lissu atafanya nini kuhusu muungano hapo mwaka 2025.
Kwanza atahakikisha tunapata Katiba Bora na Muungamo wenye Tija.Tuseme kesho Tundu Lissu ameamka kaupata Urais, ni kipi ataanza nacho kuhusu Muungano?
Akiwa na Salama kwenye kipindi cha mkasi alidai Tanganyika tunaiibia Zanzibar sasa hivi msimamo wa gwiji hili la sheria umebadilika kutokana na elimu ya siasa ambayo amekuwa akiitoa kwenye mikutano ya CHADEMA.
Anadai Wazanzibar wanatunyonya vilivyo kwenye Muungano.
Napata wasiwasi Lissu atafanya nini kuhusu muungano hapo mwaka 2025.
Nyie ndio mnapandikiza chuki sababu ya siasa.Atawafukuza wazanzibari wote wanaoishi bara
wewe siasa hazikufaiChama chochote cha siasa kitachosimamisha mgombea kwenye uchaguzi bila uwepo wa Tume Huru Ya Uchaguzi nitakiweka kwenye kundi la wachumia tumbo.