Kesho Lissu asipotulia tena yatamkuta yale yaliomkuta 2019 mbele ya Masilingi

Kesho Lissu asipotulia tena yatamkuta yale yaliomkuta 2019 mbele ya Masilingi

Huna lolote MSAGA SUMU . Plo Lumumba Mzee wa vocabulary hawezi kuelezea uhalisia wa mambo ya Tz kuliko Lissu . Kwa sababu Lissu anayaishi wakati Lumumba siyo.

Pili ule si mdahalo bali mjadala .

Odhis *
Ndio maana nimesema sio mdahalo hasa, cha muhimu Lissu ajitahidi kutokuongea uongo
 
hukuwa umezaliwa au hukuwa na smartphone mkuu??

ile siku ndio nilijua wasomi wa ccm wakiweka siasa chini sio watu wa mchezo mchezo.nikagundua kitu pia,kwamba kumbe lissu huwa anatoa povu sio hoja.

sasa kesho ajipange,na sijui kama hataokba udhuru.
Sasa siku ile Masilingi alitoa point ipi zaidi ya kuonyesha amekasirika !!.

Odhis *
 
Kama JPM ni Shujaa wa Africa hata Jean -Bédel Bokasa nae ni shujaa vile vile..

Shujaa gani aliyekua anakwepa midahalo?

Bora hata Mkapa alikwepa hadi alipokutana na Tim Sebastian Kwenye HardTalk hadi akawa na gadhabu!
 
Japo lissu kwangu si kiumbe chenye mashiko lkn namfahamu Kama moja ya wanasheria wenye uwezo mpana wa kutoa hoja na kuweza kuitetea vilivyo!. Lissu si mwepesi kihivyo kusema tu unaweza mpeperusha kirahisi ni mtu mwenye hoja zenye mashiko huyo balozi uliemtaja aligalagazwa kwenye mtanange ule.
 
hukuwa umezaliwa au hukuwa na smartphone mkuu??

ile siku ndio nilijua wasomi wa ccm wakiweka siasa chini sio watu wa mchezo mchezo.nikagundua kitu pia,kwamba kumbe lissu huwa anatoa povu sio hoja.

sasa kesho ajipange,na sijui kama hataokba udhuru.
Acha uongo ile walienda sawa mbona
 
Kwanza Tundu keshakua disappointed na meseji aliyoipata kwnye maombolezo ya Chuma
Pili Tundu keshakua disappointed na shombo alizozipata kwnye comment ktk account zake fesibuku
Hana hata zile nguvu kabisaa labda wamjaze kwa tena
 
Ni utaahira kumpa mtu ambae hana uwezo wowote wa kihoja mbele za wasomi ushujaa wa Afrika.
Kwa kigezo kipi yaani Magu anaweza kuwa shujaa?
kuna muda usiwajibu hawa mazwazwa unawapa kichwa,hivi wanajua maana ya shujaa wa Africa?
 
Back
Top Bottom