Kesho Lissu asipotulia tena yatamkuta yale yaliomkuta 2019 mbele ya Masilingi

Kama JPM ni Shujaa wa Africa hata Jean -Bédel Bokasa nae ni shujaa vile vile..

Shujaa gani aliyekua anakwepa midahalo?

Bora hata Mkapa alikwepa hadi alipokutana na Tim Sebastian Kwenye HardTalk hadi akawa na gadhabu!
Duh hii umenikumbusha mbali aisee MSAGA SUMU haijui
 
Kwanza Tundu keshakua disappointed na meseji aliyoipata kwnye maombolezo ya Chuma
Pili Tundu keshakua disappointed na shombo alizozipata kwnye comment ktk account zake fesibuku
Hana hata zile nguvu kabisaa labda wamjaze kwa tena
Yaani matusi ya mtandaoni ndo yamuumize kichwa Lissu?

Fahamu tu kuwa mitandaoni kuna ID za TISS kazi yake kujibu kwa style ya shombo, kutukana, kuspin, kutoa negative comments kwa ajili ya kushape public opinion
 
Aaa Mzee, siku ile WM aligaragazwa mpaka analialia. Kapewa vifungu vya sheria anasema ooo hiyo haitafsiriwi hivyo. Kapelekeshwa wee alivorudishwa nyuma kaishia kusema oo we rudi nyumbani kajenge taifa. Siku ile nilikuwepo. WM was an obvious underdog. Alitia huruma sana.

Huyu Lumumba hana asset za kutosha kuhusu tz ingawa atamshinda TL kwa vocabulary tu
 
Kumpambanisha Lissu na PLO Lumumba ni kama kuua nzi kwa mzinga! Lumumba anaijuia Afrika yote, wakati Lissu anaijua Chadema nusu nusu tu!
Lumumba is overrated.... Si alipewa Tume ya kupambana na ufisadi alifanikiwa lipi?

PLO si alisupport wizi wa kura za odinga kwa ku side na Kina Kenyatta kwenye kesi ambapo aliangushwa kwa aibu na mawakili wadogo tu.

PLO ni mpiga kelele tu ila Lissu kapambana practically kuanzia Sekta ya madini akiwa LEAT, Bungeni, na mahakamani. So hakuna mtu anayeweza chambua masuala ya Tanzania kuliko mtanzania mwenyewe!!
 
Hivyo kesho ni mechi kati ya muwakilishi wa wazalendo vs muwakilishi wa mabeneru. Magufulication Vs MiGA.
 
Kwanza Tundu keshakua disappointed na meseji aliyoipata kwnye maombolezo ya Chuma
Pili Tundu keshakua disappointed na shombo alizozipata kwnye comment ktk account zake fesibuku
Hana hata zile nguvu kabisaa labda wamjaze kwa tena
Wanatukanwa kina Messi na Ronaldo mpaka wanatishia kufunga akaunti zao ndio sembuse Lissu?

Toxic message za social media zipo dunia nzima motivation ya Lissu ipo kwenye mapokezi yake ya kampeni kote alikopita. Huko Lwenzera mpaka Dareda wasio na smartphone walimpokea kma mkombozi ndio eti aje aumie kwa message za maroboti ya Lumumba?


This is the real motivation b!t$$h
 
Kwa akili zako unadhani lissu anapaka matope Tanzania, au chato nayo unaita Tanzania.
 
..Balozi Masilingi aliamua kufanya fujo na uhuni ktk mahojiano ya voa.

..na hiyo ni baada ya kuzidiwa kwa hoja na Tundu Lissu ktk kipindi kilichoandaliwa na Shaka Ssali.

..ni bahati mbaya muandaaji kipindi, Mwamoyo Hamza, alimruhusu Balozi Masilingi kuvuruga kipindi cha voa.
 
Huwezi na hutakaa umpangie Shujaa Lissu cha kuzungumza au kutokuzungumza.Masilingi,Weka yale mahojiano tuone jinsi Masilingi alivyotamani ardhi ipasuke aingie humo halafu ijifunge.Weka hapa hiyo video
 
Lissu ukute yupo anapiga msuli wa Sheria muda huu maana anajua huo Moto anaokutana nao kesho siyo wa kawaida..

Prof Lumumba vs mropokaji.
 
Lumumba Mkenya 🤔🤔?fala sana wewe
 
Ni utaahira kumpa mtu ambae hana uwezo wowote wa kihoja mbele za wasomi ushujaa wa Afrika.
Kwa kigezo kipi yaani Magu anaweza kuwa shujaa?
Kaa kwa kutulia, uone jinsi Mbeligiji atakavyoumbuka mbele ya pan africanist lumumba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…