Kesho Lissu asipotulia tena yatamkuta yale yaliomkuta 2019 mbele ya Masilingi

Lapoteza mvuto huu jamaaa vema akae kinya tu , anayepambana nae kashamsamehe mda mrefu sana
 
Kwani Lissu ana uchungu gani na Tanzania zaidi ya kututukana na kuichafua nchi mbele ya uso wa dunia?
 
Hilo la Masilingi kumuelemea Lissu... Video bado ipo YouTube. Kaangalie ujikumbushe kidogo.
Masikini alipigwa out mapema Sana....lissu Yuko vizuri umuunge mkono usimuunge mkono.Kwa mfano huwezi fananisha mwigulu na lissu kamwe...lissu ni level nyingine
 
Huna lolote MSAGA SUMU . Plo Lumumba Mzee wa vocabulary hawezi kuelezea uhalisia wa mambo ya Tz kuliko Lissu . Kwa sababu Lissu anayaishi wakati Lumumba siyo.

Pili ule si mdahalo bali mjadala .

Odhis *
Utasemaje Lisu anayaishi maisha ya Tanzania wakati yuko Ubeligiji? Acha mambo yake basi, Lissu anachiotafuta kila kukicha ni kutafuta viumbea umbea tu ili aweze kuandika kashifa
 
Umeandika maneno ya ajabu na uongo. Tambua kuwa MUngu yupo, Acha kuandika uongo
 
Wacha uongo masilingi ndiyo alichemsha mpaka alikuwa ananyanyuka kwenye kiti anataka kurusha ngumi na alikuwa amelewa,itafute uiangalie tena.
Kupambana na lissu kwa hoja mtu ajipange, lissu aliweka tofauti ya serikali na nchi, masilingii akawa anatoa mimacho tu...
 
Wewe ulitakaje? Unataka Nani awe shujaa? Na Kama shujaa ni Magu wewe inakuhueu Nini?
 
Huna lolote MSAGA SUMU . Plo Lumumba Mzee wa vocabulary hawezi kuelezea uhalisia wa mambo ya Tz kuliko Lissu . Kwa sababu Lissu anayaishi wakati Lumumba siyo.

Pili ule si mdahalo bali mjadala .

Odhis *
Tumwache Lisu ateme nyongo maana hiyo ni sehemu ya tiba kwake.
Wana saikolojia wamenielewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…