Kesho Mtaniona Live na kunifahamu nitakaposhiriki Kwenye maandamano makubwa Mkoa wa Songwe Ya kumpongeza Rais Samia kwa kuteuliwa Kugombea Urais

Bibie unadhani hufahamiki? 😂😂😂
 
Baada ya maandamano mtakuwa pale kwa Diwani Mwajeka,Planters au Richie Richie Inn mkipoza koo na jua la maandamano
 
Mwaka huu mnaishi kama vinega.
Jiandaeni
 
Wewe kidampa huna hadhi ya kukaa meza kuu CCM ni chama cha wenyewe na wewe sio endelea kulamba buku 7 tu hapo badala ya kurudi shule ukajiendeleze na kutoa ujinga uliokujaa .
 
Wewe kidampa huna hadhi ya kukaa meza kuu CCM ni chama cha wenyewe na wewe sio? endelea kulamba buku 7 tu hapo badala ya kurudi shule ukajiendeleze na kutoa ujinga uliokujaa .
CCM ni ya wana CCM. Elimu yangu ni kubwa sana
 
Nyumbu wataandamana. Nyumbu Hawa hawajui hata watakula Nini kesho lakini wanaandamana kushangilia matapeli. Nyumbu mpo wengi lakini mungu atawapunguza. Anza kujiandaa mwenyezi mungu ameshaanza kuchukua majinga kama wewe. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisa
 
Kesho kibubujiko utakachotoa hakitapita machoni wala puani am sure unavompenda Mama.
 
Mbona unajulikana kitambo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…