spangwingwi
Member
- Mar 1, 2024
- 27
- 29
Ni sawa vaa ile suruali yako ya kitenge ya ccm na shati lake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nime imagine kijani na pink, nimecheka kwa sauti, kweli hapo tutamjua kwa haraka 🤣🤣🤣Atavaa tie ya pink
Bibie unadhani hufahamiki? 😂😂😂Ndugu zangu Watanzania,
Siku ya kesho ya Jumamosi natarajia kushiriki katika Maandamano Makubwa Mkoa Wa songwe ya Kumpongeza RAIS wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Kwa kuteuliwa kupeperusha bendera ya Urais katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Mwishoni Mwa Mwaka huu.
Ambapo Maandamano hayo yanatarajiwa kufanyika katika Wilaya ya Mbozi na kuhitimishwa katika Mji Mdogo wa Mlowo .ambako kutafanyika Mkutano Mkubwa sana wa hadhara ambao unatarajiwa kuhudhuriwa na watu wengi sana.
Soma Pia Wajumbe Mkutano Mkuu CCM wapitisha Rais Samia, Dkt. Mwinyi kugombea Urais 2025
Ambapo ni mahali hapo kutatolewa hotuba mbalimbali kutoka kwa viongozi wetu mbalimbali wa ndani ya mkoa wa songwe.kuelezea mambo makubwa na ya ajabu aliyoyafanya Rais wetu Mpendwa ndani ya muda mfupi ambayo yamekuwa kama Miujiza na maajabu ya Musa..
Tayari watu mbalimbali kutoka maeneo mbalimbali wameanza kumiminika kusogea eneo la tukio na wengine wamekuwa wakisafiri na kunyeshewa na mvua.
lakini wanasema wapo tayari kuloa na kunyeshewa na Mvua lakini wasikose kushiriki katika maandamano hayo yenye lengo la kuunga na kuupongeza Mkutano Mkuu Maalum ambao ulimpitisha kwa kauli Moja Mama yetu jasiri muongoza njia na Simba wa Nyika Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kugombea Urais.
Kwa hiyo kesho wana jukwaa mtaniona live nikiwa nimependeza na sare za CCM huku nikiwa ni kijani tupu kuanzia Damuni hadi nje na kubeba picha ya Mama Samia. Kesho Msikosee kufuatilia maandamano hayo ambapo wengi mtaniona kwa mara ya kwanza na kufurahi mpaka mbubujikwe na machozi ya furaha.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Huwezi ukazuia hisia za watuTafadhali,usije kuhamasisha watu wabubujikwe na machozi wakati wa Maandamano
Nzi dahWe ni chawa tu, acha kujipa umuhimu usiokuwa nao.
Haya watu watakujuaje hali wote mtakuwa mmevalia sare zenu za kijani mpo kama nzi wa chooni?! 🤣
Waandamanaji wakiwasili.
View attachment 3212963
Mwaka huu mnaishi kama vinega.Ndugu zangu Watanzania,
Siku ya kesho ya Jumamosi natarajia kushiriki katika Maandamano Makubwa Mkoa Wa songwe ya Kumpongeza RAIS wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Kwa kuteuliwa kupeperusha bendera ya Urais katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Mwishoni Mwa Mwaka huu.
Ambapo Maandamano hayo yanatarajiwa kufanyika katika Wilaya ya Mbozi na kuhitimishwa katika Mji Mdogo wa Mlowo .ambako kutafanyika Mkutano Mkubwa sana wa hadhara ambao unatarajiwa kuhudhuriwa na watu wengi sana.
Soma Pia Wajumbe Mkutano Mkuu CCM wapitisha Rais Samia, Dkt. Mwinyi kugombea Urais 2025
Ambapo ni mahali hapo kutatolewa hotuba mbalimbali kutoka kwa viongozi wetu mbalimbali wa ndani ya mkoa wa songwe.kuelezea mambo makubwa na ya ajabu aliyoyafanya Rais wetu Mpendwa ndani ya muda mfupi ambayo yamekuwa kama Miujiza na maajabu ya Musa..
Tayari watu mbalimbali kutoka maeneo mbalimbali wameanza kumiminika kusogea eneo la tukio na wengine wamekuwa wakisafiri na kunyeshewa na mvua.
lakini wanasema wapo tayari kuloa na kunyeshewa na Mvua lakini wasikose kushiriki katika maandamano hayo yenye lengo la kuunga na kuupongeza Mkutano Mkuu Maalum ambao ulimpitisha kwa kauli Moja Mama yetu jasiri muongoza njia na Simba wa Nyika Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kugombea Urais.
Kwa hiyo kesho wana jukwaa mtaniona live nikiwa nimependeza na sare za CCM huku nikiwa ni kijani tupu kuanzia Damuni hadi nje na kubeba picha ya Mama Samia. Kesho Msikosee kufuatilia maandamano hayo ambapo wengi mtaniona kwa mara ya kwanza na kufurahi mpaka mbubujikwe na machozi ya furaha.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
ni ukweni kabisa, Lucas Mwashambwa ana shati mpaka uki liweka chini Lina simama😁🤣Wanadai unashindia shati la CCM
Cc Intelligent businessman
Basi kumbe ndio huyu maandiko yake yanasadifu alivyo.Picha yako hii hapa we chawa, ilikuwa mwaka gani huu?
View attachment 3212956
Tujiandae na niniMwaka huu mnaishi kama vinega.
Jiandaeni
Kufungasha virago na tunguli zenu.Tujiandae na nini
CCM ni ya wana CCM. Elimu yangu ni kubwa sanaWewe kidampa huna hadhi ya kukaa meza kuu CCM ni chama cha wenyewe na wewe sio? endelea kulamba buku 7 tu hapo badala ya kurudi shule ukajiendeleze na kutoa ujinga uliokujaa .
CCM itaongoza Taifa letu mpaka mwisho wa DuniaKufungasha virago na tunguli zenu.
Ikulu siyo pango la wauaji, mafisadi wala wanyang'anyi
Division 0 ni kubwa ?CCM ni ya wana CCM. Elimu yangu ni kubwa sana
Nyumbu wataandamana. Nyumbu Hawa hawajui hata watakula Nini kesho lakini wanaandamana kushangilia matapeli. Nyumbu mpo wengi lakini mungu atawapunguza. Anza kujiandaa mwenyezi mungu ameshaanza kuchukua majinga kama wewe. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisaNdugu zangu Watanzania,
Siku ya kesho ya Jumamosi natarajia kushiriki katika Maandamano Makubwa Mkoa Wa songwe ya Kumpongeza RAIS wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Kwa kuteuliwa kupeperusha bendera ya Urais katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Mwishoni Mwa Mwaka huu.
Ambapo Maandamano hayo yanatarajiwa kufanyika katika Wilaya ya Mbozi na kuhitimishwa katika Mji Mdogo wa Mlowo .ambako kutafanyika Mkutano Mkubwa sana wa hadhara ambao unatarajiwa kuhudhuriwa na watu wengi sana.
Soma Pia Wajumbe Mkutano Mkuu CCM wapitisha Rais Samia, Dkt. Mwinyi kugombea Urais 2025
Ambapo ni mahali hapo kutatolewa hotuba mbalimbali kutoka kwa viongozi wetu mbalimbali wa ndani ya mkoa wa songwe.kuelezea mambo makubwa na ya ajabu aliyoyafanya Rais wetu Mpendwa ndani ya muda mfupi ambayo yamekuwa kama Miujiza na maajabu ya Musa..
Tayari watu mbalimbali kutoka maeneo mbalimbali wameanza kumiminika kusogea eneo la tukio na wengine wamekuwa wakisafiri na kunyeshewa na mvua.
lakini wanasema wapo tayari kuloa na kunyeshewa na Mvua lakini wasikose kushiriki katika maandamano hayo yenye lengo la kuunga na kuupongeza Mkutano Mkuu Maalum ambao ulimpitisha kwa kauli Moja Mama yetu jasiri muongoza njia na Simba wa Nyika Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kugombea Urais.
Kwa hiyo kesho wana jukwaa mtaniona live nikiwa nimependeza na sare za CCM huku nikiwa ni kijani tupu kuanzia Damuni hadi nje na kubeba picha ya Mama Samia. Kesho Msikosee kufuatilia maandamano hayo ambapo wengi mtaniona kwa mara ya kwanza na kufurahi mpaka mbubujikwe na machozi ya furaha.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mbona unajulikana kitambo!Ndugu zangu Watanzania,