Kesho Mtaniona Live na kunifahamu nitakaposhiriki Kwenye maandamano makubwa Mkoa wa Songwe Ya kumpongeza Rais Samia kwa kuteuliwa Kugombea Urais

Tukufafahamu ili iweje?
Una jipya gani zaidi ya uchumia tumbo tu?
 
Unaenda kuandamana kwa ajili ya kushangilia KUVUNJWA KATIBA YENU CCM??πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜…πŸ˜…
 
Wakuonee huruma tu wakupe ka teuzi...ka kisomo si unako ndugu yangu, si la saba?
 
Nani anataka kukujua ww mshamba?
 
Kwa hiyo utabeba bango lenye jina lako? Kajisanue shauri zako, kesho huijui
 
Picha yako hii hapa we chawa, ilikuwa mwaka gani huu?
View attachment 3212956
Kama Luka ni huyu kwenye Picha ni ngumu sana kutoboa Kwa siasa ,,Fanya kazi kijana kwanza kijana kama hauna refa na sio kutoka royal family hauwez toboa ,,Isack atakuja kutoboa ww ukiwa Bado chawa ,na baada ya mama atakuja Babake Isack naye utakua unamwabudu na baadae Isack mwenyew ,,na hapo hapo uzee utaingia na kubak mlala hoi,hauna boda boda ukapige Kaz kulko ujinga wa kuandamana??
 
Kwani hapa Nchini kuna shati lenye hadhi na thamani kubwa kupita shati la CCM?
Mama akiona huu ujinga atajua akil zako ni fyetu na hawez teuwa mjinga kias hicho!! Kwa nguo za mama anazovaa hazina dhaman na wala Huwa hapendez akivaa mpka avae nguo za kijana sio??
 
Mbona anafahamika yupo sana pale Mbeya stend. Nimeshawahi panda Hiace yake na nikawa namuona anavyoandika nyuzi zake.
 
hamna shughuri za kuwapatia kipato?
 
Mbona unajulikana jana nilikuona maeneo ya stendi mpya mlowo umevaa katrak kausi kama mstari mweupe kwa pembeni na umefuga tudevu uchwara..nilikuwa safarin naelekea Mpanda ulikuwa umesimama na jamaa zako unadhani haujulikani.
 
Kumbe kujiteua nako ni kuteuliwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…