Kesho naagiza simu original China kama unataka kuagiza?

Kesho naagiza simu original China kama unataka kuagiza?

IMG-20240324-WA0007.jpeg


Ni baadhi ya mizigo ambayo niliagiza. Juu ni Samsung S20 Ultra 5G.

Hiyo chini ni motherboard ya laptop ya Lenovo niliyo itafuta Tanzania nzima nikaikosa.

Ilinibidi nianze kuitafuta kwenye majiji ya China. China nina marafiki wengi kwa hiyo ni kama nyumbani tu. Bahati nzuri nikampata rafiki yangu wa Beijing anasoma huko nikamwomba aingie mtaani kwa mafundi wanao tengeneza PC China. Akampata bwana mmoja yupo vizuri sana kwenye mambo ya PC lakini pia ana duka la electronics.
Huyo jamaa wa kwanza anaitwa Jerry IT Center.
Screenshot_20240324_113007_WeChat.jpg


Hilo box la motherboard ya PC nililitoka Beijing likaenda Guangzhou likaenda Hongkong likaenda Ethiopia likaenda Zanzibar ndio likafika Dar es Salaam.
 
Hakuna simu original toka china.
Tushatapeliwa kitambo tu.
 
Back
Top Bottom