Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
- Thread starter
- #41
Jinsia inakusaidia nini mkuu tuwe seriously.we jinsia gani kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jinsia inakusaidia nini mkuu tuwe seriously.we jinsia gani kwanza
Acha kujidanganya mkuu simu zote tunazotumia zinatoka China. Kama huamini naomba tukutane uone simu nayotumia ipoje. Uniambie kama hapa Tanzania hasa kwenye maduka ya kariakoo utaipata kirahisi na kwa bei niliyonunulia huko China.Hakuna simu original toka china.
Tushatapeliwa kitambo tu.
Samsung A02 1000 YUANHivi Samsung a02 ni bei gani huko, simu hii nilipenda sana, inakaa na chaji hadi kero aisee.
Mkuu mbona umetaja majina yanayofananaSamsung Galaxy S21 5G
Na
Samsung Galaxy S21 5G
Bei zake zikoje
Samsung S21 5G, 1700 YUANSamsung Galaxy S21 5G
Na
Samsung Galaxy S21 5G
Bei zake zikoje
Na mimi natumia Hii S21 5G ila imepasuka kioo majuzi, nasubiria jibu nione bei ikoje ikinifaa niagize ingine au S22 ultra
Sent from my SM-G998U using JamiiForums mobile app
Isiyo fekiSimu original ndio ipi?
Pamoja ,nitakutafuta bosiAcha ujuaji kama una mashaka nikuagizie alafu ikifika utalipia.
Ila yaweza kuwa Refurbished?Isiyo feki
Hapana mkuu, kama huamini tafuta nauli nikupeleke kwenye duka la huyo Dada utaelewa kwanini nimeleta uzi huu hapa.Ila yaweza kuwa Refurbished?
Sawa bossPamoja ,nitakutafuta bosi
Nimeuliza tu kupanua uelewa.Hapana mkuu, kama huamini tafuta nauli nikupeleke kwenye duka la huyo Dada utaelewa kwanini nimeleta uzi huu hapa.
OkayNaomba kujua bei za hizi simu, nataka moja kati yake iphone 11 storage 256GB, iphone 11 prox 120GB, Iphone 11 pro max 120 GB,
Ulizia kwa uyo mtu wako wa china
Mpaka nimwombe aniwekee orodha ya simu zote na bei zakeUngeweka aina za simu na bei, ingekua njema zaidi
Asante sana, wastani wa 360,000.Samsung A02 1000 YUAN
Na Mimi Kuna mtu alinieleza habari Kama unazoeleza hivi nikampuuza Kuna Sony akanionyesha huku bei waliyoniambia laki Tisa na elfu hamsini China akaniambia mpaka inanifikia mkononi huku mkoani 440800 nikaamua kujitoa mhanga nimeipokea Jana.Mpaka nimwombe aniwekee orodha ya simu zote na bei zake