Kesho naagiza simu original China kama unataka kuagiza?

Naomba kupewa elimu kidogo.

Hivi hizi Iphone zinazotengenezwa China zina specifications na Quality sawa na Iphone za Marekani?
 
Naomba kupewa elimu kidogo.

Hivi hizi Iphone zinazotengenezwa China zina specifications na Quality sawa na Iphone za Marekani?
Ndio mkuu zina specifications sawa kabisa. Hapo kinachofanyika ni kwamba wachina wanawaita wawekezaji kutoka USA wajenge kiwanda cha kutengeneza iphone nchini mwao. Specifications zinazotumika ni zilezile.

Nadhani ulisha wai kusikia kwamba serikali yetu ilikua na mpango wa kuwaita kampuni ya TOYOTA ya japani kujenga kiwanda cha kutengeneza magari ya TOYOTA hapahapa nchini.
 
Mimi sitaki simu natka kuagiza Airless paint sprayer machine inaitwa TITAN 440 , huko china naweza pata used kwa sh ngapi ?
 
Naomba kujua Kuna fee yoyote mtu akiagiza anachangia mbali na gharama nyingine ? Kama hakuna kwanini ? Fanya mpango wa TV na gadgets nyingine utapanua wigo kama ukiifanya kibiashara . Ukiondoa Meli je hizo items kubwa kubwa haziwezi Kuja na ndege ?
 
Asante mkuu nimekuelewa.
Next week nitakucheck tufanye jambo.
 
Weka exchange rate yuan vs tshs
 
Hivi Samsung si inatengenezwa na mkorea, why China tena?

Maana sina imani kama zitakuwa genuine. Hebu nijibu hili swali zinakuwa ni Samsung zenyewe original au ndio zile copy, hebu kuwa muaminifu eneo hilo, nisije toa pesa yangu halafu nikakulaani maisha yote kama sitapata ninachotaka.

Kuwa muungwana unijibu swali langu kiuungwana sana suichukie wala kumind chochote.
 
samsung A70 bei gan mkuu.....by mm bodaboda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…