Kesho naagiza simu original China kama unataka kuagiza?

Mfano nikakubazi 250k unaweza nipatia simu gani nzuri? I.e display >6.7, battery >5000 mah, gb 128 ram 4.
 
Kwamba Xinjiang sawa na Iringa wewe ni mjinga sana.

Hiyo safari jitembeze mwenyewe uijue China na uache kuandika upuuzi.
 
Kwamba Xinjiang sawa na Iringa wewe ni mjinga sana.

Hiyo safari jitembeze mwenyewe uijue China na uache kuandika upuuzi.
Mimi naona ni sawa na Iringa kwasababu Gross Domestic Product (GDP) yake ni ndogo na wala haipo kwenye top 10 ya majiji yenye GDP kubwa China.
Hivyo nashauri mtu yeyote akitaka kupata exposure kubwa ni bora akatembelea majiji haya 10 yaliyopo kwenye top 10.
 
GDP yake ndogo ni ngapi ?
Hivi unafahamu Xinjiang ina GDP kubwa kuliko nchi yako wewe ndio waifananisha na Iringa binti una matatizo
 
Hawa watu wanataka kufanya biashara badala ya kuwatajia majiji makubwa kibiashara unawatajia Xinjiang (Iringa=Mtwara).
Kwamba Xinjiang center of Silk road routes hakuna biashara kule 😃

Kwenye hiyo trip yenu msisahau kwenda Urumqi
 
Tunaangalia GDP boss hatuangalii routes unazozingumzia hapo. Jaribu kuwa mwelewa mkuu huwezi linganisha Xinjiang na Guangzhou.
Mimi sijaifanananisha Xinjiang na Guangdong ila nimekataa wewe kuifananisha na miji ya Tanzania
 
Tunaangalia GDP boss hatuangalii routes unazozingumzia hapo. Jaribu kuwa mwelewa mkuu huwezi linganisha Xinjiang na Guangzhou.
Haya siku nyingine.

siku mkisafiri utanijulisha maeneo mtakayo tembelea.

Acha nikuache na uzi wako wa biashara.
 
GDP yake ndogo ni ngapi ?
Hivi unafahamu Xinjiang ina GDP kubwa kuliko nchi yako wewe ndio waifananisha na Iringa binti una matatizo
Sikumaanisha hivyo mkuu. Nilicho kueleza ni kwamba Xianjiang kwa China ni sawa na Mtwara au Iringa kwa Tanzania. Ndio maana ukisoma ile table ya GDP unaona hadi Wuhan ina GDP kubwa kuliko hiyo Xianjiang.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…