Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chagua Simu kwenye list na bei zimeandikwa pale.Mfano nikakubazi 250k unaweza nipatia simu gani nzuri? I.e display >6.7, battery >5000 mah, gb 128 ram 4.
Kwamba Xinjiang sawa na Iringa wewe ni mjinga sana.Nionyeshe hiyo Xinjiang hapa. Huo mji unatofauti gani na Iringa boss.
View attachment 2954584
Hiyo ndio miji mikubwa nayo recommend watu kusafiri kwaajili ya kupata exposure.
Tangazo: Fursa ya Safari ya China kwa Siku 15!
Je, unatafuta uzoefu wa kipekee wa kusafiri kwenda China kwa siku 15 tu?
Karibu katika safari ya kutembelea mazingira ya kuvutia na utamaduni wa kipekee wa China!
Jiunge nasi kwenye safari yetu maalum ambapo utapata fursa ya kutembelea maeneo mbalimbali ya kuvutia nchini China kwa muda wa siku 15.
Utapata kushuhudia mandhari ya kushangaza, mila na desturi za kipekee, na kupata uzoefu wa kipekee wa maisha ya Kichina.
Kwa maelezo zaidi na kujiandikisha, wasiliana nasi leo hii!
Usipitwe na fursa hii ya kipekee ya kutembea na kujifunza katika ardhi ya ajabu ya China. Karibu katika safari ya maisha!
Kujua zaidi juu ya hii safari hii jiunge kupitia:ScholarshipJunctionX | WhatsApp-Kanal
Unaifananisha Xinjiang sawa na Mtwara kwa sababu ya gesi hicho ndicho ulicho ona pekeeHiyo Xinjiang anayo izungumzia ni kama Mtwara ni mji unaongoza kwa kuzalisha gesi.
Jamaa yangu kbsa huyumzee wa vinu[emoji3]
Mimi naona ni sawa na Iringa kwasababu Gross Domestic Product (GDP) yake ni ndogo na wala haipo kwenye top 10 ya majiji yenye GDP kubwa China.Kwamba Xinjiang sawa na Iringa wewe ni mjinga sana.
Hiyo safari jitembeze mwenyewe uijue China na uache kuandika upuuzi.
Ngoja tuendelee kupeana update.Uzi mzuri ila wanaokoment hawana hela
Hawa watu wanataka kufanya biashara badala ya kuwatajia majiji makubwa kibiashara unawatajia Xinjiang (Iringa=Mtwara).Unaifananisha Xinjiang sawa na Mtwara kwa sababu ya gesi hicho ndicho ulicho ona pekee
GDP yake ndogo ni ngapi ?Mimi naona ni sawa na Iringa kwasababu Gross Domestic Product (GDP) yake ni ndogo na wala haipo kwenye top 10 ya majiji yenye GDP kubwa China.
Hivyo nashauri mtu yeyote akitaka kupata exposure kubwa ni bora akatembelea majiji haya 10 yaliyopo kwenye top 10.
View attachment 2954769
Kwamba Xinjiang center of Silk road routes hakuna biashara kule 😃Hawa watu wanataka kufanya biashara badala ya kuwatajia majiji makubwa kibiashara unawatajia Xinjiang (Iringa=Mtwara).
Tunaangalia GDP boss hatuangalii routes unazozingumzia hapo. Jaribu kuwa mwelewa mkuu huwezi linganisha Xinjiang na Guangzhou.Kwamba Xinjiang center of Silk road routes hakuna biashara kule 😃
Kwenye hiyo trip yenu msisahau kwenda Urumqi
Mimi sijaifanananisha Xinjiang na Guangdong ila nimekataa wewe kuifananisha na miji ya TanzaniaTunaangalia GDP boss hatuangalii routes unazozingumzia hapo. Jaribu kuwa mwelewa mkuu huwezi linganisha Xinjiang na Guangzhou.
Haya siku nyingine.Tunaangalia GDP boss hatuangalii routes unazozingumzia hapo. Jaribu kuwa mwelewa mkuu huwezi linganisha Xinjiang na Guangzhou.
Sikumaanisha hivyo mkuu. Nilicho kueleza ni kwamba Xianjiang kwa China ni sawa na Mtwara au Iringa kwa Tanzania. Ndio maana ukisoma ile table ya GDP unaona hadi Wuhan ina GDP kubwa kuliko hiyo Xianjiang.GDP yake ndogo ni ngapi ?
Hivi unafahamu Xinjiang ina GDP kubwa kuliko nchi yako wewe ndio waifananisha na Iringa binti una matatizo
Safari hii ni trip ya kwenda Shanghai.Haya siku nyingine.
siku mkisafiri utanijulisha maeneo mtakayo tembelea.
Acha nikuache na uzi wako wa biashara.
Mtakaa kwa muda gani ?Safari hii ni trip ya kwenda Shanghai.
15 daysMtakaa kwa muda gani ?
Haha jamaa anatetea mahali anapoishiNaona raia mnabishana kuhusu Xinjiang, kwani mna mpango kwa kutaka kula Da Pan Ji?