Kesho najiondoa rasmi CHADEMA. Nimechoshwa na siasa njaa na kuendekeza matumbo

Kesho nitaongea na waandishi wa habari. Na hiyo kesho ndio itakuwa fursa yenu kunijua vizuri.

Sitajiunga na chama chochote kile . Siasa njaa na na kuendekeza matumbo vimeniuzi.

Labda tu kwa uchungu wa taifa langu nibadili gia angani baadae
Wanaume hubaki na kupambana kurekebisha hali na sio kukimbia.
 
Kesho nitaongea na waandishi wa habari. Na hiyo kesho ndio itakuwa fursa yenu kunijua vizuri.

Sitajiunga na chama chochote kile . Siasa njaa na na kuendekeza matumbo vimeniuzi.

Labda tu kwa uchungu wa taifa langu nibadili gia angani baadae
Mkuu wewe si kada wa ccm? Umehamia lini chadema?

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
 
Kesho nitaongea na waandishi wa habari. Na hiyo kesho ndio itakuwa fursa yenu kunijua vizuri.

Sitajiunga na chama chochote kile . Siasa njaa na na kuendekeza matumbo vimeniuzi.

Labda tu kwa uchungu wa taifa langu nibadili gia angani baadae
Unajiondoaje wakati hauna kadi ya uanachama.
 
Kwan huna hata akil ya kifikira historia ya majina yaliyo ondoka chadema hapo kabla?.

Wewe ni nani haswa mpaka uwasumbue watu na akil zao hapo chadema, wewe ni mganga njaa tu huna jipya.

Nakubali kwamba chadema kwa miaka ya hapa karibuni imepoteza focus na dira. Haina agemda mama ya kusimamia kama msimgi wa ukombozi kwa mtanzania.
Wamejipambamua live kwasasa na watanzania wachache tumegindua kuwa wao na ccm hawana tofauti sana.

Wameivunja mioyo ya watanzania walioweka tumain kwao kama chama makini cha upinzani, kwasasa wambakia kuwa wadandika kila agenda inayopita mbele yao wakiacha maslah mapana ya taifa hili na watanganyika kwa ujumla.

Lakin yote kwa yote, wewe ondoka, huwez kuiharibu chadema kwa kuondoka kwako, maana kwa hapa ilipofikia imeharibika vya kutosha.
 
Kesho nitaongea na waandishi wa habari. Na hiyo kesho ndio itakuwa fursa yenu kunijua vizuri.

Sitajiunga na chama chochote kile . Siasa njaa na na kuendekeza matumbo vimeniuzi.

Labda tu kwa uchungu wa taifa langu nibadili gia angani baadae
Ondoka hata sasa hivi maku wewe [emoji706][emoji706][emoji706]
 
Back
Top Bottom