Kesho najiondoa rasmi CHADEMA. Nimechoshwa na siasa njaa na kuendekeza matumbo

Kesho nitaongea na waandishi wa habari. Na hiyo kesho ndio itakuwa fursa yenu kunijua vizuri.

Sitajiunga na chama chochote kile . Siasa njaa na na kuendekeza matumbo vimeniuzi.

Labda tu kwa uchungu wa taifa langu nibadili gia angani baadae
Nenda kwa hao ambao umeme na sukari umewashinda angalia sasa tunakaa nje hatuna maji joto kali huku tukipepea vutambaa sijui utawapa sifa gani ili wakupokee
 
Kesho nitaongea na waandishi wa habari. Na hiyo kesho ndio itakuwa fursa yenu kunijua vizuri.

Sitajiunga na chama chochote kile . Siasa njaa na na kuendekeza matumbo vimeniuzi.

Labda tu kwa uchungu wa taifa langu nibadili gia angani baadae
ITISHA MKUTANO UWANJA WA MKAPA MKUU
 
Kesho nitaongea na waandishi wa habari. Na hiyo kesho ndio itakuwa fursa yenu kunijua vizuri.

Sitajiunga na chama chochote kile . Siasa njaa na na kuendekeza matumbo vimeniuzi.

Labda tu kwa uchungu wa taifa langu nibadili gia angani baadae
Bwana kamanda mchovu
 
Safi sana. Bora uondoke. Usituchoshe
 
Kesho nitaongea na waandishi wa habari. Na hiyo kesho ndio itakuwa fursa yenu kunijua vizuri.

Sitajiunga na chama chochote kile . Siasa njaa na na kuendekeza matumbo vimeniuzi.

Labda tu kwa uchungu wa taifa langu nibadili gia angani baadae
Tangu lini ukawa mwanachedema ? Unapenda chama ambacho hakikupendi pumbavu sana
 
Kesho nitaongea na waandishi wa habari. Na hiyo kesho ndio itakuwa fursa yenu kunijua vizuri.

Sitajiunga na chama chochote kile . Siasa njaa na na kuendekeza matumbo vimeniuzi.

Labda tu kwa uchungu wa taifa langu nibadili gia angani baadae
Kumbe ni Kweli Tundu au wamekataa usigombeeee😂😂😂😂
 
Kesho nitaongea na waandishi wa habari. Na hiyo kesho ndio itakuwa fursa yenu kunijua vizuri.

Sitajiunga na chama chochote kile . Siasa njaa na na kuendekeza matumbo vimeniuzi.

Labda tu kwa uchungu wa taifa langu nibadili gia angani baadae

Kwani ulipojiunga uliongea na wanahabari?
 
Kesho nitaongea na waandishi wa habari. Na hiyo kesho ndio itakuwa fursa yenu kunijua vizuri.

Sitajiunga na chama chochote kile . Siasa njaa na na kuendekeza matumbo vimeniuzi.

Labda tu kwa uchungu wa taifa langu nibadili gia angani baadae
Kamanda asiyechoka hatimae achoka.🤣 Neno kamanda si la kila mtu bana.
 
Kweli ondoka tu, mihangaiko yote hiyo hata kateuzi ka kutulizia njaa hakuna? Kweli haki hii? Ruzuku zote zinaishia huko juu tu.
 
Kesho nitaongea na waandishi wa habari. Na hiyo kesho ndio itakuwa fursa yenu kunijua vizuri.

Sitajiunga na chama chochote kile . Siasa njaa na na kuendekeza matumbo vimeniuzi.

Labda tu kwa uchungu wa taifa langu nibadili gia angani baadae
Kamanda Asiyechoka ambaye sasa ni dhahiri kabisa kuwa ni "Aliyechoka'. Nafikiri utakuwa muda muafaka kwako kubadili jina lako hapa jukwaani na "avatar" yako.

Nachelea kusema kuwa umevipiga vita visivyoeleweka, na mwendo sasa umeumaliza.
 
Mjinga mmoja katika kivuli cha chadema
 
Back
Top Bottom