Kesho najiondoa rasmi CHADEMA. Nimechoshwa na siasa njaa na kuendekeza matumbo

Kama wewe ulikuwa CHADEMA kwakweli jiondoe. Ulikuwa takataka. Na usije CCM PLEASE wewe ni mbovu, kilaza na mwenye utoto. Nlipenda uendelee kubaki Chadema ili niwe nawananga chadema wana watu wa hovyo. Sasa ukiondoka itakuaje? Unawaacha machawa tu akina Erythrocyte peke yao? Sisi CCM tunalo chawa kilaza njaa kali Lucas mwashambwa huyu ni chawa pro max gud gud. Chawa mchafu.
 
Mungu Akubariki sanaaa na kukujalia Maisha marefu yenye heri na amani.
 
Chadema hakuna Chawa
 
Kesho nitaongea na waandishi wa habari. Na hiyo kesho ndio itakuwa fursa yenu kunijua vizuri.

Sitajiunga na chama chochote kile . Siasa njaa na na kuendekeza matumbo vimeniuzi.

Labda tu kwa uchungu wa taifa langu nibadili gia angani baadae
Yaani Kuna watu wako serious na siasa za upinzani hapa Tanzania? 😁😁😁😁

Mkuu wewe ulitakaje? Saizi mnaachwa andamaneni toeni matamko hewa imeisha hivyo 😂😂
 
Unajipa umuhimu wa bure,eti ndio tutakujua ili iweje?
Mwenzio dokta wa mihogo aliondoka mwenyewe na sasa anarudi mwenyewe kimya kimya.
Wewe nenda kwa amani ya Bwana kokote utakapo acha maneno ya khanga.
 
Mungu Akubariki sanaaa na kukujalia Maisha marefu yenye heri na amani.
Screenshot_2023-10-16-23-18-09-160_com.twitter.android~2.jpg
 
Kesho nitaongea na waandishi wa habari. Na hiyo kesho ndio itakuwa fursa yenu kunijua vizuri.

Sitajiunga na chama chochote kile . Siasa njaa na na kuendekeza matumbo vimeniuzi.

Labda tu kwa uchungu wa taifa langu nibadili gia angani baadae
Eeehhh, chadema inakufa sasa
 
Back
Top Bottom