Kesho tarehe 07/04/2024 ni siku rasmi ya Uzinduzi wa shughuli za D. P. WORLD nchini Tanzania

KING MIDAS

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
8,589
Reaction score
16,936
Kesho ni siku rasmi ya Uzinduzi wa shughuli za D P. WORLD nchini Tanzania.

Tayari wameshaleta watu wao tayari kwa kuanza kazi baada ya mamia ya wafanyakazi wa TPA kugoma kujiunga na D. P. World.

Tayari D. P. World wamepewa vitendea kazi vyote vilivyokuwa vya TPA zikiwemo mashine na mitambo mbalimbali, magari, na majengo.

Wote mnakaribishwa
 
Hatimaye upigaji unaenda kuanza rasmi.
 
#TEC
 
Siwezi kupata conneksheni hapo dp-world mkubwa..??
 
KInachotakiwa waonyeshe ufanisi ushabiki wa kisiasa maandamano vyote tumepita!
 
Sisi ni wazalendo kwer kwer apa tumepigaje🤣🤣
 
Kesho ndio siku ambayo ilikuwa inasubiriwa kwa hamu na mafisadi wa nchi hii ili wauze nchi kwa warabu washibishe matumbo yao makubwa kama mapakacha ya kubebea samaki wa Ferry. Majinga haya naomba Mungu kesho atende muujiza kabla hayajauza nchi yapigwe radi iyakaushe kama kuni. Mijitu mipumbavu kama hii inayouza nchi kiqumer haifai kuishi...ni bora hata ife kwa ajali ya ndege au moto iungue ibaki majivu tupu.

Wananchi wanateseka kwa kuishi maisha maagumu wakati nchi yao inauzwa na hii michumiatumbo isiyokuwa na khaya. Haya majitu ni zaidi ya mafisi yenye njaa yanayoishi kwenye mbuga ya Serengeti.

Inauma sana. Badala ya kuuza nchi kwa warabu ni afadhali hawa majizi wangeruhusu wakoloni warudi kuitawala hii nchi. Miarabu ni mijitu ya ajabu sana haifai kabisa kuuziwa nchi isije ikatuletea ushoga katika nchi hii. Kama mbwai na iwe mbwai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…