Hawa wafanyakazi wakati sisi tunaandamana walkuwa wapi? Ngoja wale matunda ya woga na usalitiWafanyakazi wamepewa muda wa miezi mitatu zaidi wa kuamua!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa wafanyakazi wakati sisi tunaandamana walkuwa wapi? Ngoja wale matunda ya woga na usalitiWafanyakazi wamepewa muda wa miezi mitatu zaidi wa kuamua!
Investor kama Investor, anapewa kila kitu cha serikali, kazi yake ni kupiga pesa tu.
Sisi wafuasi wa Allah tunawakaribisha kwa furaha na bashashaKesho ni siku rasmi ya Uzinduzi wa shughuli za D P. WORLD nchini Tanzania.
Tayari wameshaleta watu wao tayari kwa kuanza kazi baada ya mamia ya wafanyakazi wa TPA kugoma kujiunga na D. P. World.
Tayari D. P. World wamepewa vitendea kazi vyote vilivyokuwa vya TPA zikiwemo mashine na mitambo mbalimbali, magari, na majengo.
Wote mnakaribishwa
Worse of the Worse!Kesho ni siku rasmi ya Uzinduzi wa shughuli za D P. WORLD nchini Tanzania.
Tayari wameshaleta watu wao tayari kwa kuanza kazi baada ya mamia ya wafanyakazi wa TPA kugoma kujiunga na D. P. World.
Tayari D. P. World wamepewa vitendea kazi vyote vilivyokuwa vya TPA zikiwemo mashine na mitambo mbalimbali, magari, na majengo.
Wote mnakaribishwa
Wala hampo kwenye list. Baba zenu hawana majina Wala mashikoSisi wafuasi wa Allah tunawakaribisha kwa furaha na bashasha
Bila barakashia na makubazi sahau ajira.Tunao tafuta kazi DP World tujuane....
Mkuu mbona chapu tu navaaBila barakashia na makubazi sahau ajira.
Sigida kubwa usoni.Mkuu mbona chapu tu navaa
Too early to make more money,its transition period. Maybe if they will upgrade infrastructure, in 5 years they may be coughing dough.Lakini yetu macho.You mean to say that from next month TRA and BOT collections accounts will be filled up with so much monies!!?
Kama watanzania tutampa kura huyu muuzaji na chawa wake basi nchi hii ilikua ni Mali ya waarabu na sisi ni wavamizi. Ni haki kurejeshewa nchi Yao na mjukuu wa Sultani Yuko Sahihi.Investor kama Investor, anapewa kila kitu cha serikali, kazi yake ni kupiga pesa tu.
Kesho ndio siku ambayo ilikuwa inasubiriwa kwa hamu na mafisadi wa nchi hii ili wauze nchi kwa warabu washibishe matumbo yao makubwa kama mapakacha ya kubebea samaki wa Ferry. Majinga haya naomba Mungu kesho atende muujiza kabla hayajauza nchi yapigwe radi iyakaushe kama kuni. Mijitu mipumbavu kama hii inayouza nchi kiqumer haifai kuishi...ni bora hata ife kwa ajali ya ndege au moto iungue ibaki majivu tupu.
Wananchi wanateseka kwa kuishi maisha maagumu wakati nchi yao inauzwa na hii michumiatumbo isiyokuwa na khaya. Haya majitu ni zaidi ya mafisi yenye njaa yanayoishi kwenye mbuga ya Serengeti.
Inauma sana. Badala ya kuuza nchi kwa warabu ni afadhali hawa majizi wangeruhusu wakoloni warudi kuitawala hii nchi. Miarabu ni mijitu ya ajabu sana haifai kabisa kuuziwa nchi isije ikatuletea ushoga katika nchi hii. Kama mbwai na iwe mbwai.
Wachukue wizara ya TAMISEMI. ndio wizara iliyojaa madudu.Oyooo dp world waichukue tanesco
Usojidanganye tutaibiwa mara kumi zaidi.Kama mwendokasi tu tumeshindwa kusimamia vipi bandari? Cha muhimu DP World waongeze ufanisi
Hatimaye upigaji unaenda kuanza rasmi.