Kesho tarehe 07/04/2024 ni siku rasmi ya Uzinduzi wa shughuli za D. P. WORLD nchini Tanzania

Kesho tarehe 07/04/2024 ni siku rasmi ya Uzinduzi wa shughuli za D. P. WORLD nchini Tanzania

Kuna jamaa ali bet akashinda zawadi nzuri. Kwasababu alikua Hana akili akaanza kununua samani za Bei juu na kuponda Maraha kwa ulevi na makahaba. Mara pesa ikakatika.
Akaanza kuuza vile vitu alivyonunua kwa Bei mbaya, akaviuza kwa Bei ya kutupa ,(si Hana uchungu navyo)
Mara navyo akavimaliza.
 
Kesho ni siku rasmi ya Uzinduzi wa shughuli za D P. WORLD nchini Tanzania.

Tayari wameshaleta watu wao tayari kwa kuanza kazi baada ya mamia ya wafanyakazi wa TPA kugoma kujiunga na D. P. World.

Tayari D. P. World wamepewa vitendea kazi vyote vilivyokuwa vya TPA zikiwemo mashine na mitambo mbalimbali, magari, na majengo.

Wote mnakaribishwa
Kwa hiyo ulitaka ikabidhiwe kwako
 
Upigaji how???

Si samia alisema hao wamekuja kukomesha upigaji ina maana hao wanakuja na version mpya ya upigaji?

Hawa wanakuja na upigaji ulioidhinishwa na watawala na genge lao. Huu ni upigaji mtakatifu kwa vile umetakatifuzwa na wasaliti wa Taifa.

Watu wanne wamefanikiwa kupora rasilimali ya watu zaidi ya milioni 60, na kisha kuwauzia jamaa zao.
 
Kama watanzania tutampa kura huyu muuzaji na chawa wake basi nchi hii ilikua ni Mali ya waarabu na sisi ni wavamizi. Ni haki kurejeshewa nchi Yao na mjukuu wa Sultani Yuko Sahihi.

Wale watu hawajawahi kuwapenda watanganyika kamwe.


Hata iweje lakini waarabu watakuja kufukuzwa Tanganyika kama mbwa Koko. Siku zinakuja. Watoto wetu haiwezekani warithi utumwa kwenye nchi yao Kwa sababu TU ya CCM na watu wachache kukalia madaraka.

Yaani Kanisa Katoliki lililojaa wasomi na wanazuoni waliobobea dunia nzima Leo wanapuuzwa na kutukanwa na machawa wa Std 7 huku wakichelelea wageni kwenda kuchota pesa bandarini na kupeleka Uarabuni kulisha watoto wao na watanzania kubaki kama watumwa na wageni kwenye nchi Yao.

CCM ni lazima iadhibiwe Kwa huu unyama waliowafanyia watanganyika na vizazi vyao.
Leo Nyerere na karume walioanzisha CCM wangefufuka wangewanyonga CCMaslahi wote na waarabu wao . Vijana wa Tanganyika amkeni muipiganie na kuitetea nchi yenu.

Umeme watu waliunganishiwa Kwa Sh. 27,000/- ili kuwainuwa maskini huku bandari iliwa chini ya wazawa Leo bandari imeuzwa , Royo tuuza ilitumiwa na maintelijensia wa kiuchumi toka nje Kwa ajli ya kuuza rasilimali zetu zote za asili . Tukaambiwa watalii wataongezeka kumbe ilikua ni udalali wa kuuza mbuga zetu.

2025 team JPM ni Bora iungane na upinzani ili upinzani ushinde na baada ya miaka mitano team hiyo itashinda Tena Kwa kishondo mana waoinzani watakosa mvuto Kwa wananchi wanyonge.
Lakini Team JPM ikidanganyika ikamsaidia Dalali kurejea madarakani basi ni wazi kuwa Wale vijana Wanne wezi walioshika Serikali wataisambaratisha Team JPM na kuipoteza kabisa ili 2030 waenedelee kukalia kiti na kulinda maslahi Yao na majizi mengine ndani ya mifumo.

Kuchagua Upinzani ni nafuu kubwa sana Kwa team JPM kuliko kuichagua CCM na team ya madalali wanaobebwa na Wazungu na waarabu na vyama vya Upinde na wahuni Toka nchi za magharibi wenye sera za kuangamiza na kudumaza kizazi Cha mwafrika.
Hayo maumivu unayoyapata ni madogo tu ukilinganisha maumivu ambayo tunayapitia Zanzibar tangu mwaka 1964, tumepoteza kila kitu chetu
 
Kesho ni siku rasmi ya Uzinduzi wa shughuli za D P. WORLD nchini Tanzania.

Tayari wameshaleta watu wao tayari kwa kuanza kazi baada ya mamia ya wafanyakazi wa TPA kugoma kujiunga na D. P. World.

Tayari D. P. World wamepewa vitendea kazi vyote vilivyokuwa vya TPA zikiwemo mashine na mitambo mbalimbali, magari, na majengo.

Wote mnakaribishwa
Karume day ni kubwa zaidi
 
tupia kapicha tuone DP world wanavyo pewa vitu vya TPA pia tupe orodha ya wafanyakazi wa TPA waliogoma kwenda DP WORLD ,kaka nchi imejengwa kwa misingi ya haki na umoja ,amani epuka maneno ya uchochezi
 
Sema hawa waporaji kwa kupitia IGA ya kishenzi, ni muhimu. Hakuna walichowekeza.

Nchi imewekeza zaidi ya dola bilioni 11, wao kwa maneno yao watakuja na dola milioni 500, yaani 4% tu ya kile ambacho nchi imewekeza.

bado airtanzagiza ndege tumenunua sisi shirika litaporwa na ndege zote kuchukuliwa lkn madeni yatalipwa na walipa kodi wa tanzagiza …
 
Usojidanganye tutaibiwa mara kumi zaidi.

Ili mgeni asikuibie ni lazina akutane na wazawa wazalendo wanaoipenda nchi Yao na kumshughulikia mwizi bila kujali rangi zao. Hivi kama Mkuu wa nchi anashindwa kumfukuza na kumfilisi mwizi aliyemteua akiwa maskini ataweza kumshugulikia Bilioneo Toka falme za Kiarabu anayemiliki utajiri mkubwa kabisa duniani?
Wazawa watashirikiana na wageni kuiibia nchi kwa kiwango kikubwa na Cha kutisha Kwa sababu hakuna Tajiri anayewaza kupata hasara au kupata faida kidogo anapoona mwanya wa kupiga pesa na kupata faida kubwa zaidi.

Hivi Kagame amewezaje kuwajenga wnayarwanda kuipenda nchi yao na kuwa tayari kupora nchi jirani ili kuiendeza Rwanda kama sio kuwaadhibu wezi na hata kuwatupa gerezani wale wanaojaribu kuhujumu nchi.
Leo mkuu wa nchi anaweka tumu dhaifu wakati nchi imejaa wezi. Zaidi anawashirikisha kwenye uuzaji wa nchi na kugawana ngawira Toka Kwa wageni ndio Maana anakosa nguvu ya kuwashughulikia .

Biteko huyu sio yule wa enzi za JPM.
Ni mwingine kabisa.
Na hafai kabisa kusimamia maadili ya ndani ya serikali . Anajua wazi kuwa hafai. Na aliyemteua anajua na anajua ni kwa nini amemteua na hakumteua kwa sababu ya uadlilifu.
Wezi wanashindwa kuwasimamia wezi mana kila mmoja hamwamini mwenzake.

Tunahitaji mabadiliko ya Uongozi wa kisiasa , serikali na bunge na sio kuuza Rasilimali zetu kwa Wakoloni waliowachinja Babu zetu kama kuku ili wapore mali zetu . Leo tunawapa Tena ili wakawalimbikizie wajukuu zao Mali .
Unaonaje ukahamia Rwanda ili ufaidi uongozi wa Kagame? Wanyarwanda mliojaa nchini kinyemela mnazingua sana. Rudini kwenu.
 
Kesho ndio siku ambayo ilikuwa inasubiriwa kwa hamu na mafisadi wa nchi hii ili wauze nchi kwa warabu washibishe matumbo yao makubwa kama mapakacha ya kubebea samaki wa Ferry. Majinga haya naomba Mungu kesho atende muujiza kabla hayajauza nchi yapigwe radi iyakaushe kama kuni. Mijitu mipumbavu kama hii inayouza nchi kiqumer haifai kuishi...ni bora hata ife kwa ajali ya ndege au moto iungue ibaki majivu tupu.

Wananchi wanateseka kwa kuishi maisha maagumu wakati nchi yao inauzwa na hii michumiatumbo isiyokuwa na khaya. Haya majitu ni zaidi ya mafisi yenye njaa yanayoishi kwenye mbuga ya Serengeti.

Inauma sana. Badala ya kuuza nchi kwa warabu ni afadhali hawa majizi wangeruhusu wakoloni warudi kuitawala hii nchi. Miarabu ni mijitu ya ajabu sana haifai kabisa kuuziwa nchi isije ikatuletea ushoga katika nchi hii. Kama mbwai na iwe mbwai.
Hawa washezi Mungu anawashughulikia mmoja baada ya mwingine. Nasikia mmoja wao tayari cancer ya korodani inammaliza kwa Kasi. Imebaki hawa walioko mjengoni na Kiongozi wao mkuu kibibi
 
Hayo maumivu unayoyapata ni madogo tu ukilinganisha maumivu ambayo tunayapitia Zanzibar tangu mwaka 1964, tumepoteza kila kitu chetu
Sema Waarabu Wala usijifiche kwenye mgongo wa wazanzibari.
Kwa Taarifa yako mabionea asilimia kubwa ya wale waliopo Tanganyika wanatokea huko huko Zanzibar.
Sasa tutakuja huko na wamasai wote waliofukuzwa LOLIONDO na kupewa waarabu na kuoa waarabu na wazungu waitwe Moleli.

Wazanzibar halisi ni wale wenye asili ya Wanyamwezi, wamanyema, WANDENGEREKO , WABONDEI na wazaramo na sivinginevyo .
Nyie wengine ni wavamizi toka Uarabuni , mna chuki kubwa sana na watu weusi.
Muungano ukivunjika mtachinjana kama kuku mkigombea uongozi na ardhi ili mrudishe himaya ya kiarabu.

Hayo maumivu unayoyapata ni madogo tu ukilinganisha maumivu ambayo tunayapitia Zanzibar tangu mwaka 1964, tumepoteza kila kitu chetu
 
Bandari ikiwa chini ya Watanganyika wenzetu Umeme uliunganishwa Kwa Tsh. 27,000 na maji ilikua ni kununua rola la Bamba tu na kufungiwa maji kule vijijijini.

Leo umeme na maji bei juu huki kila kitu kikiwa kimeuzwa wa rushwa ya kundi dogo kujineemsha kupitia udalali wa kuuza rasilimmali za nchi.
Bandari imeuzwa , mbuga zimeuzwa , misitu imeuzwa, viwanja vimeuzwa , ardhi na madini yameuzwa Kila mahali, ufisadi Kila mahali, mikopo Kila siku , ushoga unashamiri Kila kukicha, tunaletewa mpaka mahindi na unga na samaki wa bandia ili kuvimaliza vizazi vya watanganyika na kuwarejesha Waarabu kwenye Pwani ya Afrika mashariki . Katiba ilikua ya hovyo sana iliyotoa mwanya wa kumpata kiongozi Kwa bahati mbaya.
Kwa hali olivyo
Hawa washezi Mungu anawashughulikia mmoja baada ya mwingine. Nasikia mmoja wao tayari cancer ya korodani inammaliza kwa Kasi. Imebaki hawa walioko mjengoni na Kiongozi wao mkuu kibibi
Wafe tu mpaka waishe hawa mashetani wakubwa! Na wakifa wachomwe motoni hadi wabakie majivu tupu wanaizaya wakubwa!
 
Kesho ni siku rasmi ya Uzinduzi wa shughuli za D P. WORLD nchini Tanzania.

Tayari wameshaleta watu wao tayari kwa kuanza kazi baada ya mamia ya wafanyakazi wa TPA kugoma kujiunga na D. P. World.

Tayari D. P. World wamepewa vitendea kazi vyote vilivyokuwa vya TPA zikiwemo mashine na mitambo mbalimbali, magari, na majengo.

Wote mnakaribishwa
Wakae chonjo tu maana wazalendo wakiingia madarakani tunawatimua. Itakuaje walete watu wao wakati nchi ina watu kibao. Hii hila ya wajanja na fisadi nchini kukabidhi bandari zetu itakoma tu na wahusika tutawafikisha mahakamani kujibu.
 
Back
Top Bottom