19 March 2024
Zanzibar
SHIRIKA LA BANDARI ZANZIBAR LAPOKEA MATISHARI MAWILI KUONGEZA UFANISI
ZPC shirika la Bandari Zanzibar limepokea matishari mawili makubwa yenye majina HAPA KAZI 1 na HAPA KAZI 2 kutoka Mamlaka ya BandarI Tanzania THA yaliyokuwa yanafanya kazi katika bandari ya Tanga.
Matishari hayo yatapunguza foleni za meli katika bandari ya Zanzibar mwezi huu wa mfungo wa Ramadhani na pia ule moyo wa kuuenzi Muungano na matunda yake amesema Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Bandari Zanzibar - ZPC.
Mahusiano kati ya Mamlaka ya Bandari Tanzania THA na Shirika la Bandari la Zanzibar ZPC ni mfano wa kuigwa katika kuchochea uchumi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
TAARIFA RASMI YA ZPC:
Shirika la Bandari Zanzibar (ZPC) limepokea Matishali (Barge) mawili (2) kutoka Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA).Kwa lengo la kuimarisha ushushaji na upakiaji wa makontena na mizigo Ili bidhaa zitoke na kuwafikia wananchi Kwa haraka, hii itapunguza msongamano wa Makontena na foleni za meli katika Mwezi huu wa Ramadhan kuelekwa siku kuu ya 'Eid Al Fitri' 2024.
View: https://m.youtube.com/watch?v=K2GzDjDHPok