Twilumba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 12,576
- 14,522
Watafanya kazi gani kwa hiyo, maana core operational business ndo hiyo imepokwa?baada ya mamia ya wafanyakazi wa TPA kugoma kujiunga na D. P. World.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watafanya kazi gani kwa hiyo, maana core operational business ndo hiyo imepokwa?baada ya mamia ya wafanyakazi wa TPA kugoma kujiunga na D. P. World.
Ni huzuniInvestor kama Investor, anapewa kila kitu cha serikali, kazi yake ni kupiga pesa tu.
Hapo ni retrenchment na wafanyakazi wengi kulipwa Chao na kuondoka sawa sawa na mkataba wa hali bora ulioingiwa kati ya wafanyakazi na bandariTayari wameshaleta watu wao tayari kwa kuanza kazi baada ya mamia ya wafanyakazi wa TPA kugoma kujiunga na D. P. World.
Wafagizi sijui wataenda wapi? Wanaleta mashine za kufagia za hali ya juuHapo ni retrenchment na wafanyakazi wengi kulipwa Chao na kuondoka sawa sawa na mkataba wa hali bora ulioingiwa kati ya wafanyakazi na bandari
Sijui ni kwa nini hao wawekezaji hawaioni TANESCO na kutoa ushawishi (kwa sababu Serikali imekuwa na kugugumizi kuamua kuibinafsisha) kwa Serikali iiachie iendeshwe na Mwekezaji kama bandari.hawa wawekezaji ni muhimu sana wallah
Sasa na wao wameleta nini mpaka sasa hivi ukitoa hao wafanyakazi waliokuja nao ?!Kesho ni siku rasmi ya Uzinduzi wa shughuli za D P. WORLD nchini Tanzania.
Tayari wameshaleta watu wao tayari kwa kuanza kazi baada ya mamia ya wafanyakazi wa TPA kugoma kujiunga na D. P. World.
Tayari D. P. World wamepewa vitendea kazi vyote vilivyokuwa vya TPA zikiwemo mashine na mitambo mbalimbali, magari, na majengo.
Wote mnakaribishwa
Kwaresma njema mkuuAlipofika karibu aliuona Mji akaulilia akisema laiti ungelijua yapasayo laiti ungelijua amani
Kwaresma imetamatika tunaendelea na Ramadan 😂Kwaresma njema mkuu
Upigaji how???Hatimaye upigaji unaenda kuanza rasmi.
Familia ya mama AbdulKesho ni siku rasmi ya Uzinduzi wa shughuli za D P. WORLD nchini Tanzania.
Tayari wameshaleta watu wao tayari kwa kuanza kazi baada ya mamia ya wafanyakazi wa TPA kugoma kujiunga na D. P. World.
Tayari D. P. World wamepewa vitendea kazi vyote vilivyokuwa vya TPA zikiwemo mashine na mitambo mbalimbali, magari, na majengo.
Wote mnakaribishwa
Kesho ni siku rasmi ya Uzinduzi wa shughuli za D P. WORLD nchini Tanzania.
Tayari wameshaleta watu wao tayari kwa kuanza kazi baada ya mamia ya wafanyakazi wa TPA kugoma kujiunga na D. P. World.
Tayari D. P. World wamepewa vitendea kazi vyote vilivyokuwa vya TPA zikiwemo mashine na mitambo mbalimbali, magari, na majengo.
Wote mnakaribishwa
Bwashee nyosha kanzu mapema kesho twende tukashuhudie DP World akipewa kijitiAlipofika karibu aliuona Mji akaulilia akisema laiti ungelijua yapasayo laiti ungelijua amani
Wafagizi ni vibarua wa kutwa wapo chini ya Suma jkt guardWafagizi sijui wataenda wapi? Wanaleta mashine za kufagia za hali ya juu