Kesho tarehe 07/04/2024 ni siku rasmi ya Uzinduzi wa shughuli za D. P. WORLD nchini Tanzania

Kesho ni siku rasmi ya Uzinduzi wa shughuli za D P. WORLD nchini Tanzania.

Tayari wameshaleta watu wao tayari kwa kuanza kazi baada ya mamia ya wafanyakazi wa TPA kugoma kujiunga na D. P. World.

Tayari D. P. World wamepewa vitendea kazi vyote vilivyokuwa vya TPA zikiwemo mashine na mitambo mbalimbali, magari, na majengo.

Wote mnakaribishwa
Sasa na wao wameleta nini mpaka sasa hivi ukitoa hao wafanyakazi waliokuja nao ?!
 
Kesho ni siku rasmi ya Uzinduzi wa shughuli za D P. WORLD nchini Tanzania.

Tayari wameshaleta watu wao tayari kwa kuanza kazi baada ya mamia ya wafanyakazi wa TPA kugoma kujiunga na D. P. World.

Tayari D. P. World wamepewa vitendea kazi vyote vilivyokuwa vya TPA zikiwemo mashine na mitambo mbalimbali, magari, na majengo.

Wote mnakaribishwa
Familia ya mama Abdul
 
Poleni sana Wafanyakazi wa TPA kwa mtihani mnaopitia .
 
Ahhh
fb_img_1680258242993-jpg.2572153
 
Back
Top Bottom