Kesho tarehe 07/04/2024 ni siku rasmi ya Uzinduzi wa shughuli za D. P. WORLD nchini Tanzania

Wao wabaki hapo duniani/ulimwenguni wachape kazi kwa bidii na uadilifu..baada ya miaka mitatu ya mkata a wataongezewa..kimbembe ni kama watafanya kazi kimazoea zoea.
Hamna mmbongo atakayetoboa kwa mkataba wa perfomance sababu ndo njia nyepesi ya kuwachomoa humo. Mwarabu huwa anajiona first class wana ubaguzi sana lazma watawafyekela mbali watu weusi.
 
Hawa wanakuja na upigaji ulioidhinishwa na watawala na genge lao. Huu ni upigaji mtakatifu kwa vile umetakatifuzwa na wasaliti wa Taifa.

Watu wanne wamefanikiwa kupora rasilimali ya watu zaidi ya milioni 60, na kisha kuwauzia jamaa zao.
Kuwakodishia sio kuwauzia 😂 maana wao watapokea tozo tu!
 
Hamna mmbongo atakayetoboa kwa mkataba wa perfomance sababu ndo njia nyepesi ya kuwachomoa humo. Mwarabu huwa anajiona first class wana ubaguzi sana lazma watawafyekela mbali watu weusi.
Wawawekee performance targets..na ziwe wazi. Wakishindwa wawale vichwa. Ninachohofia wabongo wanaogopa kupiga kazi na watu ambao wako systematic.
 
hakuna bei, pesa DP world wamehonga watu wetu wa serikali waliofanikisha huu ujanja, ni matajiri kwa sasa usione, na bado wanaendelea kuvuna
Hii nchi wazungu wameipata kirahisi sana .
Walitumia akili sana kwenye Royo tua . Walitaka kuwa na uhakika wa rasilimali za asili zilizopo na ambazo ni Mali ya serikali .
Wakagundua kuwa eneo kubwa sana la nchi hii na rasilimali zake zote ni kama Mali ya Rais na anaweza kufanya chochote bila kuulizwa na yeyote . Wakagundua kuwa mkuu wa nchi ana ukaribu wa kinasaba na kiimani na waOmani kuliko Watanganyika .
Pia wakagundua kuwa mkuu wa nchi ana mamlaka makubwa kuliko mungu kwenye rasilimali na maisha ya watanganyika . Wananchi hawana nguvu juu ya Rasilimali za nchi Wala kuchagua nani wa kuzisimamia isipokua kakikundi kadogo ndani ya CCM. Ikawa rahisi kuwahonga Kwa fedha kama Yuda Askari Ote.
Pia wazungu na waarabu wamefanikiwa kuingia mikataba kama ile ya Wafaransa na Kongo kuhusu Rasilimali za asili . Wanachofanya watawala Sasa ni kama alichofanya Mabuto Seseseko na kuishi maisha ya starehe na serikali yake bila kujua kuwa anaipeleka nchi yake kwenye Giza kuu na kizazi chake na utawala wake ukapotea kabisa kwenye siasa kutokana na kuingiza taifa lake kwenye utegemezi wa nchi ya Ufaransa kusipo na rasilimali za asiili.

Wazungu wamejihakikishia kuwa Tanzania ni nchi yenye rasilimali nyingi sana Kwa ukanda huu wa Afria mashariki.
Hawapo tayari kuona nchi inarudi Kwa Wazalendo Tena.

Huko mbeleni mtashangaa kuona CDF mwanamke , IGP mwanamke na Mkuu wa usalama mwanamke .
Lengo ni kuwa na taifa lenye watu wenye kuogopa kuifia nchi Yao dhidi ya mabeberu. Yaani tutakua na madeni kama Zambia na kuaminishwa kuwa hatuwezi kukataa masharti ya wazungu , waarabu na wachina . Hatuna budi kukubali kila wanachohitaji Kwa usalama wetu. Hayo ndiyo yanayokuja Afrika na Tanganyika yameanza kirahisi sana.

Ukiwa na serikali dhaifu , jeshi dhaifu, Polisi dhaifu na usalama wa kisiasa TU basi ni wazi kuwa hata Rwanda wataweza kuja kuwashika watanganyika Sharubu ambazo zitakua zimenyolewa na kubaki kidevu mtelezo .

Jeshi limekaa kimya bandari ikabebwa na sasa mapori yote yanachukuliwa Kwa maansalizi yanharakati za kijasusi Kwa wageni na viwanja vya ndege . Jeshi likeshindwa kumwambia ,"Mkuu pale hapana utatupa wakati mgumu sana kiulinzi na usalama". Maana yake ni nini Kila mtu anaangalia maokoto yake na familia yake.

Mwisho wake ni nini ? Ni kuwa na taifa dhaifu sana huku kila mtu akwa Hana habari na usalama wa nchi . Ikitokea Vita na nchi jirani kama ilivyo kuwa Kwa Uganda ni wazi kuwa Watanzania wengi watajificha maporini kuponya nafsi zao.
Wavamizi wakija na pesa watawanunua yamkini hata wapiganaji wetu kama Marcenary.


Watawala wajitafakari vizuri . Je,Watanganyika mil. 62 wanaii kunyanganywa ardhi bandari zao misitu Yao na madini Yao na kupewa familia ya Mfalme wa Emirate na wazungu wasiozidi mia Moja kwa kushirikiana na watawala wasiozidi elfu tatuna familia zao?
 
Sasa kama System ikiongozwa na raia nambar eki imewakamata ma Generals wote wa majeshi ya usalama unafikiri kinachofuatia ni nini zaidi ya kusalenda kwa bibi tozo.

Zimetembea rushwa za billions
 
Makabidhiano "yamehairishwa" Hadi Alhamis tarehe 11/04/2024.

Yameahirishwa, ikikupendeza.
 
Debe tupu wewe
 
Apa ata ukibeba Uzi kutoka Zanzibar unalipia maana Uzi unaweza uweka ata mfukoni
 
Kama huyo DG wa bandari Malaya Malaya mno, pesa anazopewa na DP world kanunulia mademu magari, range ya hamisa mobeto kanunua huyo chizi, TISS YA MWALIMU NYERERE WAS THE BEST, wa Sasa mengi yala Bata, habi habi mno, tumewekwa rehani DP world, amini usiamini wenyewe wamesha lamba asali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…