Tunawakumbuka waliouawa, waliojeruhiwa, walioumizwa, waliopewa ulemavu wa kudumu na serikali haramu ya Samia siku ya tarehe 29/10/2025.
Vijana GenZ na Watanzania wote ili kuwaenzi wahanga itapendeza ukivaa nguo nyeusi ikiwezekana yenye picha za wahanga.