Samia anavyoongelea haya mauaji kwa kufurahia na kujisifu ni sawa na chawa wake hapa JF wanavyoyafurahia. Hawa ni mashetani kabisa.
Amesema vijana wa Dar hawana hamu tena kuandamana, anasema nguvu iliyotumika ni sahihi, akawalaumu pia wazazi, walezi kwanini mliwaruhusu vijana wenu watoke nje. Akimaanisha walistahili kuuwawa.
Ni mtu asiye na utu, upendo wala kujali maisha ya Watanganyika.