Mkuu kwani amekwambia uongo? Ni kweli Mbagala Zakhem haiwezi kutosha kwa ukubwa wa kampeni za CCM. Kuhusu swala la wasanii na miziki, nadhani hata kwenye kampeni zenu miziki husikika, kinachowagharimu nyinyi Ni kukosa hela za kuwalipa tu😂😂.Mna maneno ya kujikweza sana ,kabla ya kuingia ktk mchakato wa Uchaguzi si ninyi mlikuwa mkimpamba Mzee wa Watu kuwa hamna haja ya kampeni kutokana na aliyo kwisha kuyafanya !?.Sasa Dazeni nzima za Wasanii na Matangazo 24Hrs mpaka kwenye Mitaro ya Maji taka ni ya nini !?.Si mngetulia tu kusubiri kunuapisha ?
NitaeeeeeendaaaaaRaisi Magufuli ataunguruma kwenye kampeni za uraisi Dar uwanja wa Taifa Temeke kesho Tarehe 9 oktoba 2020.Jiji kesho kusimama
Kuanzia saa moja asubuhi wananchi wa Dar wametakiwa kufika mapema kwani SAA moja asubuhi shughuli za kampeni zitaanza rasmi uwanjani hapo
Toka kampeni zianze ni Magufuli pekee ambaye amekuwa akijaza umati mikutano yake mida ya asubuhi tofauti na wengine wa vyama vingine ambao mikutano yao hufanyika jioni giza likiwa linaingia na picha zinazopigwa zikiwa zimejaa Giza wahudhuriaji hawaonekani hata sura
Ni vyote kwa mpigo wasanii ni wapiga kura wetu,wapenda matamasha nao ni wapiga kura wetu ,wapenda sera nao ni wapiga kura wetu.Tuna moblize wote na kuwapa kile roho inapenda tarehe 28 October watupe kuraHizo ni kampeni au Tamasha la Music ,maana Waeanii kama wote kutumbuiza daaah sawa bana.
Mkuu kwani amekwambia uongo? Ni kweli Mbagala Zakhem haiwezi kutosha kwa ukubwa wa kampeni za CCM. Kuhusu swala la wasanii na miziki, nadhani hata kwenye kampeni zenu miziki husikika, kinachowagharimu nyinyi Ni kukosa hela za kuwalipa tu😂😂.
Sio matangazo tu,hata kwenye kampeni zenu miziki inapigwa vizuri tu, sema nyinyi hamna hela za kuwalipa wasanii,hata kama wapo wenye kuipenda CDM.Kuna tofauti ya kusikika Miziki ya Matangazo na kutembea na lundo la Wasanii.
Shida sasa kama mafundi hawajakagua vizuri brake! Maana bola brake hilo gari ni hatari, anaweza kusema Wazaramo nasikia kwa mauno hamjambo! Mtanipa??!Gari yenu ya mkaa Leo imetoka gereji kwa ubovu ule hahahahahaha
Tena mkuu, kesho wanafunzi wa kidato cha 3 hadi cha 6 wametakiwa kwenda uwanjani na nguo za nyumbani. Walimu wote pia wafike bila kukosa.Mna maneno ya kujikweza sana ,kabla ya kuingia ktk mchakato wa Uchaguzi si ninyi mlikuwa mkimpamba Mzee wa Watu kuwa hamna haja ya kampeni kutokana na aliyo kwisha kuyafanya !?.Sasa Dazeni nzima za Wasanii na Matangazo 24Hrs mpaka kwenye Mitaro ya Maji taka ni ya nini !?.Si mngetulia tu kusubiri kunuapisha ?
By the way, hivi kwanini walimpa jina TUNDU? Can anyone explain this to me please?
Mkuu, halitatokea hilo. Kabla Meko hajapanda jukwaani, inafungwa milango yote!Tunaomba watu wa Dar msije kutufanyia kama walichofanya watu wa Zanzibar
View attachment 1594274
Tusifundishane kulima kila mtu alime ajuavyo october 28 ndipo kitaeleweka nani ni naniChadema hawana haja ya Wasanii kule ,wao huwa wana nadi Sera zao zaidi na kuwa elimisha Wananchi juu ya masuala mbalimbali yanayo husu Nchi yao.
Kumshuhudia diamond na konde boy,wasanii kibao watakuwepo,maana bila hao najua hatupati mtu.Kesho nchi itasimama wanaccm watajaa wanachadema watajaa kila chama kitakuwepo
Ile miziki mnayopiga kwenye zile spika mkweche huwa ni nini? 😂😂, Kuhusu swala la mziki na wasanii huna hoja ya msingi mkuu.Chadema hawana haja ya Wasanii kule ,wao huwa wana nadi Sera zao zaidi na kuwa elimisha Wananchi juu ya masuala mbalimbali yanayo husu Nchi yao.
Kesho Ali Kiba atashuka na parachuti kama Konde boy alivyoshuka na kamba na kufikia mgongo siku ya Yanga!Kwa hiyo kesho tuna jambo letu na Mondi pamoja na Konde boy hapo uwanja wa Taifa kama kawa
Wapuuzi huwa na upumbavu mmoja..KUOTA NDOTO ZA MCHANA NA KUTUNGA MAMBO YALIYOKOSA UHALISIARaisi Magufuli ataunguruma kwenye kampeni za uraisi Dar uwanja wa Taifa Temeke kesho Tarehe 9 oktoba 2020.Jiji kesho kusimama
Kuanzia saa moja asubuhi wananchi wa Dar wametakiwa kufika mapema kwani SAA moja asubuhi shughuli za kampeni zitaanza rasmi uwanjani hapo
Toka kampeni zianze ni Magufuli pekee ambaye amekuwa akijaza umati mikutano yake mida ya asubuhi tofauti na wengine wa vyama vingine ambao mikutano yao hufanyika jioni giza likiwa linaingia na picha zinazopigwa zikiwa zimejaa Giza wahudhuriaji hawaonekani hata sura
Tundu = ToboMagufuli yeye anatangaza mafanikio tu hana muda wa taarabu za kina Tundu Lissu. By the way, hivi kwanini walimpa jina TUNDU? Can anyone explain this to me please?
JINA la kwanza hubeba kila kitu kwenye maisha na hatima ya watuBy the way, hivi kwanini walimpa jina TUNDU? Can anyone explain this to me please?
Ni vyote kwa mpigo wasanii ni wapiga kura wetu,wapenda matamasha nao ni wapiga kura wetu ,wapenda sera nao ni wapiga kura wetu.Tuna moblize wote na kuwapa kile roho inapenda tarehe 28 October watupe kura
Tukiziomba kura kwa wasanii na wapenzi wao na washabilki wao
After all kwa CCM KAMPENI SIO ENEO LA MSIBA NI LA FURAHA
Propaganda hazitawasidia kitu,sisi pia tunasomesha na Wala hatuna hizo taarifa .Hata hivyo nataka nikujibu kulingana na propaganda zako za kitoto. Watoto wa kidato Cha 3-6,ni watu wazima wenye sifa za kupiga Kura, na sidhani Kama watashikia bunduki ili kuwalazimisha kwenda uwanjani.Tena mkuu, kesho wanafunzi wa kidato cha 3 hadi cha 6 wametakiwa kwenda uwanjani na nguo za nyumbani. Walimu wote pia wafike bila kukosa.
Najiuliza haki ya kusoma ya hawa watoto kwa nini ibinywe wakati CCM inakubalika?
JINA la kwanza hubeba kila kitu kwenye maisha na hatima ya watu
Tundu ni mtundu kama jina lake lilivyo na ana ma tundu kibao ya risasi mwilini mwake