Kesi dhidi ya Mbowe: Ushahidi wa Luteni Denis Urio ni muhimu sana

Eti na wewe ni mtetezi wa CCM mitandaoni ? Yaani CCM wamekosa watu mpaka kukupa kazi wewe kilaza? Badala ya kuwasaidia CCM unaendelea kuwadhalilisha mitandaoni
sijawahi kuwa mtetezi wa ccm, na mimi sio mwanaccm, lakini kwa aina ya wanachadema mlivyo, naamini pia kuwepo chadema ni kupoteza muda katika maisha. trust me, nyie ni nyumbu na mnaishi kwa matusi wala si kwa hoja.
 
Magufuli aligundua kesi haina maana akaipotezea baada ya kugundua hakukuwa na ugaidi wowote zaidi ya Mbowe kutaka walinzi binafsi ambao walikuwa Asikari wasitaafu au ambao hawapo kazini, Lt Urio alikuwa upande wa watuhumiwa aliteswa alidhalilishwa kwa tuhuma za ugaidi hewa, Jaji awe mpya awe wa zamani tunajua hakukuwa na ugaidi wowote zaidi ya mbowe kusaka Ulinzi binafsi kwa lengo la kujilinda na hujuma tokea kwa DC Sabaya ambaye ndiyo chanzo cha kesi hii ya mchongo
 
kwa taarifa yako, it was too early kipindi kile kufanya hivyo, na criminal case huwa haifi. wangemkamata kipindi kile cha kampeni au uchaguzi au soon after election, hata wao walijua pasingetosha, wabaya toka ulaya na wa hapahapa nchini wangetafuta sababu ili machafuko yatokee. nakushaurini subirini hadi mwisho kesi itakapoisha na kwa namna inavyofanyika kwa uwazi, watanzania wote watakuwa majaji.

huwa tunawaita wakurupukaji kwasababu umeshaanza kuamua kesi kwamba hakuna ushahidi wakati hata kesi haijaisha, si usubiri mashahidi wote waletwe? kwani mnaogopa nini mashahidi wakiletwa wote, sasaivi prosecution bado hawajafunga kesi upande wao, na nakuambieni wale mawakili wenu pale wanafurahisha umati tu, hakuna wanachokifanya. ukiona mwanasheria amesifiwa na layman kwamba ndiye anajua sana, jua ni patupu, ila ukiona wanasheria wamaappreciate mwanasheria mwenzao hapo ndio uamini. ni wanasheria tu pale tunajua yapi ni makapi na ipi ni ngano. nyie ambao hamjawahi hata kuwa wanasheria ndio mmchambue ushahidi?
 
sijawahi kuwa mtetezi wa ccm, na mimi sio mwanaccm, lakini kwa aina ya wanachadema mlivyo, naamini pia kuwepo chadema ni kupoteza muda katika maisha. trust me, nyie ni nyumbu na mnaishi kwa matusi wala si kwa hoja.
Humu watetezi wa haki za binadamu ni watanzania wote haijalishi ni mwanachama wa chama gani hata CCM wengi hawataki kesi ya mchongo kwani wanaamini inawadhalilisha machozi pa Dunia
 
kwahiyo kumbe umesharukia kuwa DC sabaya ndio alimtengenezea mbowe hii kesi, akafabricate hadi printouts za kwenye mitandao ya simu? una akili kweli?
Wewe mwenyewe huna Akili unawezaje kujua mwenye Akili ? Tafuta Akili kwanza acha kuvuta Bangi kisha kuja kusumbua watu mitandaoni, hujui kuwa DC Sabaya alikuwa kipenzi cha magufuli alikuwa akipata msaada wa chochote kile, endelea kuvuta Bangi ikitoka kichwani utazinduka
 
Humu watetezi wa haki za binadamu ni watanzania wote haijalishi ni mwanachama wa chama gani hata CCM wengi hawataki kesi ya mchongo kwani wanaamini inawadhalilisha machoni pa Dunia
 
Humu watetezi wa haki za binadamu ni watanzania wote haijalishi ni mwanachama wa chama gani hata CCM wengi hawataki kesi ya mchongo kwani wanaamini inawadhalilisha machozi pa Dunia
unaiajae kesi ya mchongo wakati hata mashahidi hawajaletwa wote, unajuaje kama kesho wataleta mashahidi wa wazi kabisa kuthibitisha kesi? au unaita kesi ya "mchongo"kwasababu katibu wenu kasema hivyo. wenzenu wanakula hela nzuri millions na bado wanapewa hela na wazungu wanabwia, wamevimba mashavu tu, ninyi mnahangaika huku nje bila kujua wanakula kwa migongo yenu. nani atakuja kuwakomboa ninyi viumbe? mnyika ndo anazidi kuvimba mwambieni apunguze mwili umri umeenda na aache maneno ya kiswahili yanayosababisha boss wake aendelee kukaa ndani badala ya kusamehewa. ninyi mnahitaji msamaha tu, ila sio kwamba watakatifu. period.
 
niache bangi? hivi kuna wavuta bangi kama hilo genge lenu la kikabila?
 
Kesi hii yafaa ifutwe haraka ili kuondoa Aibu ambayo inakuja mbele endapo Jaji atakuja kutoa maamuzi ambayo yatakuwa kinyume na matarajio
 
niache bangi? hivi kuna wavuta bangi kama hilo genge lenu la kikabila?
Sisi wana haki za binadamu tunakuomba mrejeshee kingai na mahita pesa zao baada ya kufeli kwenye utetezi dhidi yao vinginevyo watakuja kukudai kisha wakutese kama Lt Urio
 
Kesi hii yafaa ifutwe haraka ili kuondoa Aibu ambayo inakuja mbele endapo Jaji atakuja kutoa maamuzi ambayo yatakuwa kinyume na matarajio
nafikiri kama ni kufuta kuondoa aibu, inatakiwa ifutwe ili kuondoa aibu ya mbowe. jaji kutoa maamuzi kinyime ni kitu cha kawaida tu, wala sio kitu cha kuogopa na hapo ndio atakuwa amemsafisha mbowe na itakuwa heri kwake. shida ni kwamba mnaogopa ushahidi unaoletwa na hamjui mashahidi watakuja kusema nini kesho, na mnaona kumbe kweli mwenyekiti alikuwa anawasiliana na hao jamaa, mitandao ya simu imeleta ushahidi. tunahitaji kesi iende hadi mwisho ili ajitetee atuembie alikuwa anawasiliana nao kwa minajiri ipi, kama ni ulinzi peke au kulikuwa na kingine.
 
Umeandika mboyoyo miiingi nikavumilia na hata kusoma, ila ulipotaja tu CHADEMA na Lissu nikaona nikupuuze rasmi.
 
Mbowe amekaa jela mda mrefu na DC Sabaya chanzo cha kesi ya mchongo yupo jela kwa tuhuma mbalimbali kwa hali hii kilichobaki ni kufuta kesi maisha yaendelee
 
Sisi wana haki za binadamu tunakuomba mrejeshee kingai na mahita pesa zao baada ya kufeli kwenye utetezi dhidi yao vinginevyo watakuja kukudai kisha wakutese kama Lt Urio
hata sijui unaongea nini aisee. wavuta bangi kama wewe wawe watetezi wa haki za binadamu? usichafue activists aisee. mtu huja point kabisa halafu unajiita mtetezi? unatetea nini? hujui.
 
Umeandika mboyoyo miiingi nikavumilia na hata kusoma, ila ulipotaja tu CHADEMA na Lissu nikaona nikupuuze rasmi.
ni kwasababu nimegusa kwenye mshono wako mzee. hao ndio waliowachukua akili na hamtakuja kufikiri independently hata siku moja. pole.
 
Tambua kuwa kuwawasilia na ofisa wa jwtz siyo kosa kisheria, kwani anamiliki simu ya nini?hata wewe ukitaka walinzi ambao ni Asikari wasitaafu wa jwtz unaruhusiwa kuwatafuta kwa kuwauliza jwtz waliopo kazini wakusaidie kuwapata hakuna Sheria inamkataza Asikari mstaafu kusaka ajila mpya popote Duniani
 
sijawahi kuwa mtetezi wa ccm, na mimi sio mwanaccm, lakini kwa aina ya wanachadema mlivyo, naamini pia kuwepo chadema ni kupoteza muda katika maisha. trust me, nyie ni nyumbu na mnaishi kwa matusi wala si kwa hoja.
Huo msamiati wa kuwaita wananchi wa Tanzania majina ya wanyama ndiyo hoja zako?Unaowadhihaki pia wanahaki ya kuwa huru kuamini na kujiunga chama wapendacho wao,unawahukumu kwa hilo?
 
I am glad unakubali kwamba mbowe aliwasiliana. shida inakuja pale yule uliyekuwa unawasiliana naye anapoeleza yale mliyokuwa mnawasiliana naye, na ushahidi umesimama kuwa mliwasiliana hadanganyi, kwa credibility hiyo wewe utatoa ushahidi gani kujinasua? na printout za voda, airtel na tigo zimeletwa. hapo utakuwa umeshaelewa kifuatacho.
 
hata sijui unaongea nini aisee. wavuta bangi kama wewe wawe watetezi wa haki za binadamu? usichafue activists aisee. mtu huja point kabisa halafu unajiita mtetezi? unatetea nini? hujui.
Huna Akili unawezaje kujua naongea nini ? Mpaka uje kuwa na Akili kwanza ndipo utajua kuwa utetezi wako ni wa kifala fala hauna mashiko ndiyo maana nilikuambia tokea awali kuwa umelewa bangi kichwani hujielewi
 
Huo msamiati wa kuwaita wananchi wa Tanzania majina ya wanyama ndiyo hoja zako?Unaowadhihaki pia wanahaki ya kuwa huru kuamini na kujiunga chama wapendacho wao,unawahukumu kwa hilo?
Hapana, wapo huru kuingia chama chochote, ni uhuru. lakini nawashauri vyama vinavyoleta fujo, vyama vinavyoomba wahisani wasilete misaada, vyama vyenye ukiritimba mwenyekiti kumiliki kiti, vyama vyenye matusi, wasiingie kwasababu watapoteza muda. viongozi wao watakuwa wanakula kwa kupitia mgongo wao tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…