Kesi dhidi ya Mbowe: Ushahidi wa Luteni Denis Urio ni muhimu sana

Aliyebuni na kuitengeneza hii kesi ni DC Sabaya na Leo hii yupo jela kwa makosa mengineyo aliyofanya iweje kesi hii iendelee kuwepo ?
 
Huyo Denis hawezi kuwa shahidi wa utetezi ni msaliti na ametumika kutoa maelezo ya uongo ktk kuwachoma wenzake...

Labda Awe shahidi upande wa walalamikaji/ polisi...
Lt Urio amenunuliwa kuja kuwalinda kingai mahita na wenzao ambao walitengeneza Ugaidi hewa kwa lengo la kusaka sifa na vyeo toka kwa marehemu magufuli
 
Hata msaliti nae hujifanya ni mmoja wao shahidi anasema alisikia Urio nae anapiga kelele za maumivu kama mtu anaeteswa kisha akamuona Urio anatolewa kwenye magali mabovu kwa hiyo yeye akumuona Urio akiteswa je aiwezekani watuhumiwa walizugwa tu
Lt Urio amenunuliwa kaamua kujitoa fahamu zote pasipo kutafakari kwa umakini akatambua kuwa watanzania wanafuatilia hatua zote waujua ukweli pasipo shaka
 
Ndugu zangu!

Kwa wale tunaofuatilia kwa ukaribu hii kesi pendwa, tutakumbuka maelezo muhimu kutoka kwa mashahidi wa pande zote mbili.

Kwenye kesi ya msingi, tulisikia ushahidi wa ACP Kingai akimtaja Luteni Denis Urio kuwa alitumika kama mtego kwa sharti la kuripoti kila hatua.

Kwa maelezo yake, Urio alihusika 'kumtafutia' Mbowe wasaidizi aliowahitaji. Ikawa hivyo.

Hapa tulitegemea kuwa Urio 'amemchoma' kwa kuripoti mipango yake inayoitwa ya ugaidi.

Lakini kwenye ushahidi wa kesi ndogo uliotolewa na Komandoo Ling’wenya (mtuhumiwa), yeye kamtaja Urio kuwepo kwenye moja ya mahabusu za hao wanaoitwa magaidi na amemshuhudia akipitia mateso kama hao wengine.

Hii inatupa mwelekeo gani? Kwanini mtu aliyetajwa kufanikisha ukamatwaji wa magaidi naye anakula kichapo?

Urio yupo upande gani?

Japo si mmoja wa mashahidi katika hii kesi ya msingi, lakini sasa ni rasmi ameingizwa na itabidi apande kizimbani.

Ushahidi wake unaweza kutusogeza hatua nyingi kuelekea kuufahamu ukweli, tunamhitaji Luteni Denis Urio kizimbani bila kukosa.

Ncha Kali.[emoji1614][emoji276]
kuna kitu huelewi. prosecutor ndio mwenye mamlaka ya nani ashitakiwe na nani asishitakiwe. Mahakama haina mamlaka kumlazimisha prosecutor amshitaki mtu asiye mtaka kumshitaki hata kama wewe unaona amefanya makosa, yeye prosecutor anaweza kuwa na sababu zake ambazo sio lazima akwambie. wakati wa ukamataji suspects kuna watu wengi huwa wanakamatwa, lakini upon scrutinizing evidence in the file unachambua, nani akipelekwa ushahidi wake ni mzito na nani anatakiwa asishitakiwe ila awe shahidi. mnaweza kukamatwa watu wanne, wengine kati yenu wakageuka mashahidi wako. kuwepo pamoja mahabusu hakutumiki kuamua kesi kama una kosa au la, ila ushahidi. kama Ling'wenya alisema kuwa walikuwa wote mahabusu basi chote anachokisema Urio ni cha kweli.

na wakati mwingine ili kujua kilichopo moyoni mwa mtu, watu kama hao wanaweza hata kutumwa kabisa wakunasishe, kwani pccb huwa wanafanyaje? si wanaandaa kabisa hela ya kumpa mtu uliyemwomba rushwa na hela hizo wameweka alama, ukipokea tu kwa akili yako unafikiri labda na yule aliyetoa rusha mtashitakiwa naye, kume ndio anakuwa shahidi wako. akili zenu sijui mnapelekaga wapi cdm. Tundu Lisu anawadanganya sana na amewapoteza sana kwa hasira zake dhidi ya serikali, yeye yupo ulaya anabwia wine wenzake waliopo gerezani anapigilia msumari wasitoke. na kwa taarifa yako kwa ushahidi wa aina hii, mbowe anafungwa na hata wazungu wataappreciate kwamba kweli kume kulikuwa na kitu.

kitu kikubwa ambacho chadema wanashindwa kuelewa ni kwamba, pamoja na yoote hayo, ushahidi wa jana umeanza kufumbua macho kuonyesha kuwa kumbe ni kweli mbowe alikuwa anawasiliana na hao watu, mwanga umeanza kuja sasa watu wanaelewa. ushauri ulio mzuri ilikuwa mbowe na chama chake wasijifanye wajuaji wakati wanajua kabisa wamefanya makosa, serikali ingeshawasamehe, kwani kusamehe shilingingapi?, lakini wao na kina Tundu Lisu wameamua kuidhalilisha serikali kwama mbowe hatakiwi kusamehewa kwasabau hana kosa, sasa itabidi prosecution watoe ushahidi wote kuwaonyesha kwamba alikuwa na kosa, na mwisho wa siku atafungwa kwasababu alichezea bahati. unafanya kiburi wakati huna lolote. huu ndio ukweli.

inaonyesha wazi mbowe alikuwa anaamini anaweza kuspy vyombo vya serikali kupitia watumishi wa serikali ambao sio waaminifu, bila kujua kuwa wenzake wamekula kiapo cha maisha. alikuwa negligent sana.
 
Kesi hii ilipikwa mno hadi ikaungua! palipo na uongo wa kishetani Mola huweka njia ya ukweli ili kumuumbua shetani!
Marehemu magufuli alipogundua kuwa amefanya kosa kuruhusu Polisiccm kuwapiga kuwatesa Asikari wa jwtz kwa lengo la kuwalazimisha wakubali ugaidi hewa aliamua kuachana nayo
 
Mabeyo ndio chanzo cha yote haya,ni bladifekini sana huyu kumbe, aliamishia nguvu ya Jeshi letu wananchi ”JWTZ ”kwa PoliCCM ili kumfurahisha Msukuma feki wa Chato, na haya ndio matokeo yake, sijuhi ni Msukuma mwenzie . Nimemzarau sana hii takataka inayoitwa Mabeyo.
MaKomandoo wanapona vitani huko, anakuja kuning’inizwa kama popo na ”makada” kufurahisha wahuni tu wa kisiasa, uliona wapi?!
DC sanaya aliwaingiza kwenye mtego Hatari pasipo kujua Aibu yake
 
Kupitia hii kesi watanzania wamejifunza vingi ikiwemo Polisiccm kuwatesa jwtz kienyeji kisha huyo huyo aliyeteswa kupigwa anakuja kuwa shahidi mahakamani , njaa mbaya Lt Urio anajidhalilisha na kulidhalilisha jwtz, kwa mateso aliyofanyiwa alipaswa awe amejiuzulu kazi na pengine hata kujinyonga kwa Aibu ya kupigwa kuteswa na Polisiccm ingawa sasa amejitoa fahamu anatoa ushahidi wa mchongo ambao unaenda kumletea Aibu zaidi badala ya faida
Baada ya hii kesi huyu Urio atafutwa kazi kwa aibu, na wasipomtazama kwa ukaribu anaweza kujidhuru.
 
kuna kitu huelewi. prosecutor ndio mwenye mamlaka ya nani ashitakiwe na nani asishitakiwe. Mahakama haina mamlaka kumlazimisha prosecutor amshitaki mtu asiye mtaka kumshitaki hata kama wewe unaona amefanya makosa, yeye prosecutor anaweza kuwa na sababu zake ambazo sio lazima akwambie. wakati wa ukamataji suspects kuna watu wengi huwa wanakamatwa, lakini upon scrutinizing evidence in the file unachambua, nani akipelekwa ushahidi wake ni mzito na nani anatakiwa asishitakiwe ila awe shahidi. mnaweza kukamatwa watu wanne, wengine kati yenu wakageuka mashahidi wako. kuwepo pamoja mahabusu hakutumiki kuamua kesi kama una kosa au la, ila ushahidi. kama Ling'wenya alisema kuwa walikuwa wote mahabusu basi chote anachokisema Urio ni cha kweli.

na wakati mwingine ili kujua kilichopo moyoni mwa mtu, watu kama hao wanaweza hata kutumwa kabisa wakunasishe, kwani pccb huwa wanafanyaje? si wanaandaa kabisa hela ya kumpa mtu uliyemwomba rushwa na hela hizo wameweka alama, ukipokea tu kwa akili yako unafikiri labda na yule aliyetoa rusha mtashitakiwa naye, kume ndio anakuwa shahidi wako. akili zenu sijui mnapelekaga wapi cdm. Tundu Lisu anawadanganya sana na amewapoteza sana kwa hasira zake dhidi ya serikali, yeye yupo ulaya anabwia wine wenzake waliopo gerezani anapigilia msumari wasitoke. na kwa taarifa yako kwa ushahidi wa aina hii, mbowe anafungwa na hata wazungu wataappreciate kwamba kweli kume kulikuwa na kitu.

kitu kikubwa ambacho chadema wanashindwa kuelewa ni kwamba, pamoja na yoote hayo, ushahidi wa jana umeanza kufumbua macho kuonyesha kuwa kumbe ni kweli mbowe alikuwa anawasiliana na hao watu, mwanga umeanza kuja sasa watu wanaelewa. ushauri ulio mzuri ilikuwa mbowe na chama chake wasijifanye wajuaji wakati wanajua kabisa wamefanya makosa, serikali ingeshawasamehe, kwani kusamehe shilingingapi?, lakini wao na kina Tundu Lisu wameamua kuidhalilisha serikali kwama mbowe hatakiwi kusamehewa kwasabau hana kosa, sasa itabidi prosecution watoe ushahidi wote kuwaonyesha kwamba alikuwa na kosa, na mwisho wa siku atafungwa kwasababu alichezea bahati. unafanya kiburi wakati huna lolote. huu ndio ukweli.

inaonyesha wazi mbowe alikuwa anaamini anaweza kuspy vyombo vya serikali kupitia watumishi wa serikali ambao sio waaminifu, bila kujua kuwa wenzake wamekula kiapo cha maisha. alikuwa negligent sana.
Acha ujinga wako eti mtu mmoja anaweza kuamua kesi iwepo ama isiwepo huu ni ukiukaji wa katiba na haki, Tambua kuwa Mbowe alikuwa kwenye wakati mgumu tokea kwa DC Sabaya ambaye aliapa kumdhoofisha kwa kumhujumu kwa kila hali kwa lengo la kumfurahisha marehemu magufuli, ndipo Mbowe akamwambia Lt Urio amtafutie makomandoo wasitaafu ili awajili kama walinzi wake binafsi kuokoa uhai wako ambao ulikuwa unawindwa na Dc Sabaya kila kukicha, hakukuwa na ugaidi hapo ndiyo maana hata Lt Urio na yeye alikamatwa akateswa na kudhalilishwa na Polisiccm akizalizimishwa akubali ugaidi hewa wa kutengenezwa na DC Sabaya, mifano yako yote haina mashiko inaelekea umetumwa na kingai na mahita uje kuwatetea lakini umechelewa sana kwani watanzania wameamka wanajua hakukuwa na ugaidi wowote
 
Shule za kata zimeongeza matatizo badala ya kuyatatua .
Kwamba nawe ni GT humu !!.
 
wewe ndio mjinga, hivi haujui kuwa kabla ya kufungua kesi mahakamani, Ofisi ya DPP huwa inapelekewa jalada toka polisi na wao ndio wanachambua nani ashitakiwe na nani asishitakiwe kulingana na kile kilichopo jaladani? na kutokana na jalada ndio wanaweza kuona kwa busara zao wenyewe nani shahidi n.k. shida mnaongea kwa ushabiki bila kujua sheria na taratibu za kipolisi na kimahakama. mmejaza ujinga tu vichwani mwenu. subirini kesi iishe halafu mje na danadana zenu hizo.
 
unajua kati ya vitu ambavyo huwa nashangaa hapa Tanzania ni kwamba, wanachama wa chadema siku zote huwa wanajadili kwa matusi badala ya hoja. na hicho ndicho kitakachowafanya siku zote muonekane wahuni.
 
Watetezi wa CCM mitandaoni huwa hawatambui kuwa watanzania wana Akili nyingi zaidi
trust me, huna akili na hujui utendaji kazi wa hizo sekta kabisa. na unaongea kwasababu upo nje, ungekuwa kizimbani pale wewe ungelowa kama kuku mwenye kideri.
 
wewe ndio mjinga, hivi haujui kuwa kabla ya kufungua kesi mahakamani, Ofisi ya DPP huwa inapelekewa jalada toka polisi na wao ndio wanachambua nani ashitakiwe na nani asishitakiwe kulingana na kile kilichopo jaladani? na kutokana na jalada ndio wanaweza kuona kwa busara zao wenyewe nani shahidi n.k. shida mnaongea kwa ushabiki bila kujua sheria na taratibu za kipolisi na kimahakama. mmejaza ujinga tu vichwani mwenu. subirini kesi iishe halafu mje na danadana zenu hizo.
Mara ngapi amelalamikiwa kuwaonea watu ? Kwani yeye ni mungu ni malaika? yeye ni mwanadamu anakosea kama alivyokosea kutengeneza hii kesi ya Aibu kubwa ambayo inaenda kuwafumbua macho Dunia nzima, acha kujitoa fahamu kisa kingai na mahita wamekununua uwatetee, kabla ya kuingia humu uwe unatafari na kutambua kuwa watanzania siyo wajinga kama unavyofikiria
 
trust me, huna akili na hujui utendaji kazi wa hizo sekta kabisa. na unaongea kwasababu upo nje, ungekuwa kizimbani pale wewe ungelowa kama kuku mwenye kideri.
Sekta zingine vina uhusiano gani na kesi ya kutengenezwa na Dc Sabaya ?
 
Mara ngapi amelalamikiwa kuwaonea watu ? Kwani yeye ni mungu ni malaika? yeye ni mwanadamu anakosea kama alivyokosea kutengeneza hii kesi ya Aibu kubwa ambayo inaenda kuwafumbua macho Dunia nzima, acha kujitoa fahamu kisa kingai na mahita wamekununua uwatetee, kabla ya kuingia humu uwe unatafari na kutambua kuwa watanzania siyo wajinga kama unavyofikiria
DPP aliyekuwa analalamikiwa ni Biswalo, alishakuwa Jaji, huyu ni mpya. inaonekana unajadili bila kuwepo kwenye ulimwengu huu. tukija kwenye hoja, print out imetolewa mahakamani, urio alikuwa anawasiliana na mbowe, unafikiri mbowe anatakiwa kuachwa tu bila kupewa nafasi atueleze nini walikuwa wanawasiliana? kuna allegations nzito zimetolewa dhidi yake, ili kujisafisha unafikiri sio muhimu prosecution walete ushahidi wote ili aidha mahakama imsafishe na kumwachia au vinginevyo? kama ni ya kubumba, sasa ile print out ya simu pale imefikaje na mitandao ya simu nayo imefabricate? na ushahidi mwingine kibao unaokuja pengine, unafikiri serikali wangekuwa wajinga kuendelea kuwangáng'ania hivyo? shida yenu mnafikiri kwa kutumia kamasi.
 
unajua kati ya vitu ambavyo huwa nashangaa hapa Tanzania ni kwamba, wanachama wa chadema siku zote huwa wanajadili kwa matusi badala ya hoja. na hicho ndicho kitakachowafanya siku zote muonekane wahuni.
Eti na wewe ni mtetezi wa CCM mitandaoni ? Yaani CCM wamekosa watu mpaka kukupa kazi wewe kilaza? Badala ya kuwasaidia CCM unaendelea kuwadhalilisha mitandaoni
 
Sekta zingine vina uhusiano gani na kesi ya kutengenezwa na Dc Sabaya ?
kwahiyo kumbe umesharukia kuwa DC sabaya ndio alimtengenezea mbowe hii kesi, akafabricate hadi printouts za kwenye mitandao ya simu? una akili kweli?
 
Back
Top Bottom