Kesi dhidi ya Mbowe: Ushahidi wa Luteni Denis Urio ni muhimu sana

Huna Akili unawezaje kujua naongea nini ? Mpaka uje kuwa na Akili kwanza ndipo utajua kuwa utetezi wako ni wa kifala fala hauna mashiko ndiyo maana nilikuambia tokea awali kuwa umelewa bangi kichwani hujielewi
Mzee, wewe hata nikikuambia una akili hutaelewa, na nikikuambia huna akili hautaelewa. sasa nakuacha ujidefine mwenyewe.
 
Acha ufala kuwasilia na mtu kusaka Ulinzi wake binafsi siyo kosa, kumbuka DC Sabaya alikuwa Dikiteta ikibidi mbowe ajilinde hakuna Sheria inayomzuia mbowe kusaka Ulinzi wake binafsi hakuna Sheria inayomzuia mbowe kuwasiliana na yeyote kusaka Ulinzi wake binafsi, DC Sabaya alitengeneza kesi ya mchongo kwa kusingizia ugaidi hewa ili kumfurahisha marehemu magufuli
 
mzee, wewe hata nikikuambia una akili hutaelewa, na nikikuambia huna akili hautaelewa. sasa nakuacha ujidefine mwenyewe.
Nenda kuvute Bangi lakini utambue kuwa kuwasilana na mtu kusaka ilinzi binafsi siyo kosa kisheria
 
Huelewi nini aisee? nimesema shida inakuja pale wale uliokuwa unawasiliananao wanaposema haukuwa unawasiliana kwa ajili ya ulinzi tu, bali kulikuwa na njama za ugaidi pia ndani yake pamoja na mambo mengine. sasa nini huelewi hapo? akili mmetupa wapi nini? kama wale aliokuwa anawasiliana nao wanasema kulikuwa na kitu fulani, tunahitaji mashahidi wote waje ili mwenyekiti apewe nafasi ya kujitetea tusikie upande wake pia. shida yake ninyi mnaogopa mashahidi, na kama ni hivyo basi hao mashahidi wanasema ukweli. si msubiri tuone hadi mwisho? mbona tatizo dogo tu hilo kuelewa hata mtu asiyeenda shule?
 
Wewe kweli mwehu Le mutuz kubwa jinga ndiyo kakutuma ? Maana Akili zako ndogo kama zake
 
Kuna kwenda shule usiwe na uelewa kama akina profesa kapuya na wenzao na kuna kwenda shule akaishia kujiona umesoma lakini matendo yako yanakuwa kama asiyesoma hata darasa moja
 
Kuna kwenda shule usiwe na uelewa kama akina profesa kapuya na wenzao na kuna kwenda shule akaishia kujiona umesoma lakini matendo yako yanakuwa kama asiyesoma hata darasa moja
Hebu jibu hiyo hoja kwanza, naona unanipotezea muda. ongea kama mtu basi.
 
Na ukimtesa ana uwezo wa kukataa maelezo na kudai kwamba alisema alichosema ili asiendelee kuteswa.
 
Ukihitaji vituko vikubwa vya kisiasa, ishi Afrika. Usihame
 
Hatimaye alishapanda. Kaharibu Mood ya jamhuri wiki hii.
 
Mimi ninamzungumzia aliewai kuwa CDF(Mkuu wa majeshi mstaafu) na ndio maana nimemuuliza huyo anamzungumzia yupi kama CDF mstaafu alishawai kuwa shahidi 1981 tena dhidi ya wanajeshi wenzie kina Komandoo Tamim
Kuna wasiwasi na hicho unachosema kwa kuwa tamimu alifariki mapema sana kabla yake kesi haijaanza kusilikilizwa wakati wa kukamatwaa alipigwa risasi ile ilikuwa ukweli mtupu, wanajeshi watatu wanaojulikana wafanye ugaidi, kesi hii huku ugaidi kule utakatishaji fedha
 
Trust me Urio alikuwa ndiyo main witness lakini kwa ushahidi aliutoa mahakamani prosecutors wamekuwa kwenye wakati mgumu kwani mashahidi wengi wamegoma kwenda kutoa ushahidi
 
Ushahidi kwenye simu ndio ulikuwa na uzito sana lakini ukiangalia mawasilisiliano yote hakuna mahali kunathibitisha kuwa walikuwa wanapanga njama za ugaidi, na sidhani kama ilikuwa kosa Kwamba Mbowe alifanya mawasiliano na urio au wahitakiwa wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…