Kesi dhidi ya Mbowe: Ushahidi wa Luteni Denis Urio ni muhimu sana

Kesi dhidi ya Mbowe: Ushahidi wa Luteni Denis Urio ni muhimu sana

Kuna assassinations za fictions zinakuja ngoja tuombe uhai, Mungu ni mwema hii aibu kwa makomandoo lazima italipwa soon. Uzuri Rais mwanamke watajuta kutia doa makomandoo.
Ndo mnavyojidanganya hapo ufipa? Kweli mmekosa akili nyie watu!

Inaelekea una umri mdogo sana! Uliza komando Tamimu alifanywaje na vyombo vya dola mwaka 1981 baada ya kuongoza jaribio la kutaka kumpindua nyerere?

Tanzania kwenye kudeal na wahalifu haijalishi wewe Nani wanakupa dozi tu!
 
Possibly kabisa Urio pia aliteswa na akalazimishwa kusimama upande wa polisi. Kubwa zaidi Urio aitwe naye atoe ushahidi, hapa kuna watu wataaibika. Atoe ushahidi kisha awekwe sehemu salama
Tuliza pressure. Hii ni kesi ndogo iliyoibuka ghafla ndani ya kesi kubwa. Kwenye kesi kubwa ni wazi kuwa mashahidi ni wengi lakini raia ni wachache sana.
JPM alipochomekewa hii kesi akasema... "Aiiiiiiiiii baghosha achaneni nayo majameni..."
Tambua tu kuwa hii kesi inaibua vita na visasi vya siku nyingi baina ya PT, TISS na JWTZ.
 
Kufungua threads nyingi kuomboleza kuwa mbowe Hana hatia nikujichosha bure hizi porojo na blah blah hazimfutii ugaidi

Tanzania bila ugaidi inawezekana
Wajinga sana hawa bavicha! Wanadhani Mahakama itawaonea huruma!
 
Huyo Denis hawezi kuwa shahidi wa utetezi ni msaliti na ametumika kutoa maelezo ya uongo ktk kuwachoma wenzake...

Labda Awe shahidi upande wa walalamikaji/ polisi...
 
Tuliza pressure. Hii ni kesi ndogo iliyoibuka ghafla ndani ya kesi kubwa. Kwenye kesi kubwa ni wazi kuwa mashahidi ni wengi lakini raia ni wachache sana.
JPM alipochomekewa hii kesi akasema... "Aiiiiiiiiii baghosha achaneni nayo majameni..."
Tambua tu kuwa hii kesi inaibua vita na visasi vya siku nyingi baina ya PT, TISS na JWTZ.
Ndo akili zako za kibavicha zinavyokwambia?

Unafikiri maadili ya vyombo vyetu vya ulinzi ni kama hapo kwenu Bavicha?

Kwa taarifa yako, si Mara ya kwanza kwa vyombo vya ulinzi kushughulikia wahalifu kwenye nchi!

Fuatilia historia ya nchi hii utajua hata mwaka 1981 wanajeshi kadhaa walikamatwa na kupitia kibano kikali baada ya kufanya jaribio la kumpindua Nyerere!
Baadhi yao ni Luteni Zacharia Hanspope, Kapteni Maganga, Kapteni Kadego na Wengine.

Kwenye huo mpango wao alikuwepo Komandoo Tamimu ambaye aliuwawa na vyombo vya ulinzi maeneo ya magomeni baada ya kujaribu kutoroka akiwa anakamatwa

Bavicha mnajifanyaga mna akili kumbe vilaza wa mwisho hata historia ya nchi yenu hamuijui!

Tanzania haijawai kuwa legelege kwenye kudeal na wahalifu haijalishi wewe ni nani
 
Hii kesi ikiendelea ni aibu kwa serikali na ikifutwa na DPP ni aibu kwa serikali. Aibu haikwepeki kwa serikali kwa njia yoyote ile, yani kunyoa au kusuka hawapendezi.
Swala la Police kuwateka na kuwatesa Makomandoo wa JWTZ, ambao wana Mahakama, Mahabusu na Police wao (Military Police MP, Martial Courts, Martial Lock Ups) zao pindi wanapotenda kosa. Police walipata baraka kutoka wapi??? Kwa CDF Mabeyo au IGP Sirro au Rais???[emoji15][emoji15][emoji15][emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827]
 
Wangekuwa wanajeshi sheria na miongozo ya watumishi wa umma hussusani jeshi ingewalinda lakini walikuwa wameshafukuzwa kwa hiyo wameteswa kama wahalifu wengine raia, Ki ukweli hairuhusiwi kabisa kumtesa mtuhumiwa kwa sababu bado hajathibitika ni mhalifu na hata ikithibitika hukumu ya mahakama ndoo adhabu , Ki uhalisia kwa Africa yote wanaanza kumtesa mtuhumiwa ili kama anaweza kutoa taarifa za kuwaongoza polisi kupata taarifa nyingi na ushahidi kwa sababu hatuna technolojia na resource hela ya kufanya upelelezi kwa muda mrefu na kupitia chanel nyingi , kwa hiyo shotcut mtese afunguke chap chap
Kuna leo duniani na kesho kwa............
TAKE CARE.
 
swala la Police kuwateka na kuwatesa Makomandoo wa JWTZ, ambao wana Mahakama, Mahabusu na Police wao (Military Police MP, Martial Courts, Martial Lock Ups) zao pindi wanapotenda kosa. Police walipata baraka kutoka wapi??? Kwa CDF Mabeyo au IGP Sirro au Rais???[emoji15][emoji15][emoji15][emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827]
Mzee ata wewe wewe haujui walishafukuzwa jeshini?duh
 
Ndugu zangu!

Kwa wale tunaofuatilia kwa ukaribu hii kesi pendwa, tutakumbuka maelezo muhimu kutoka kwa mashahidi wa pande zote mbili.

Kwenye kesi ya msingi, tulisikia ushahidi wa ACP Kingai akimtaja Luteni Denis Urio kuwa alitumika kama mtego kwa sharti la kuripoti kila hatua.

Kwa maelezo yake, Urio alihusika 'kumtafutia' Mbowe wasaidizi aliowahitaji. Ikawa hivyo.

Hapa tulitegemea kuwa Urio 'amemchoma' kwa kuripoti mipango yake inayoitwa ya ugaidi.

Lakini kwenye ushahidi wa kesi ndogo uliotolewa na Komandoo Ling’wenya (mtuhumiwa), yeye kamtaja Urio kuwepo kwenye moja ya mahabusu za hao wanaoitwa magaidi na amemshuhudia akipitia mateso kama hao wengine.

Hii inatupa mwelekeo gani? Kwanini mtu aliyetajwa kufanikisha ukamatwaji wa magaidi naye anakula kichapo?

Urio yupo upande gani?

Japo si mmoja wa mashahidi katika hii kesi ya msingi, lakini sasa ni rasmi ameingizwa na itabidi apande kizimbani.

Ushahidi wake unaweza kutusogeza hatua nyingi kuelekea kuufahamu ukweli, tunamhitaji Luteni Denis Urio kizimbani bila kukosa.


Ncha Kali.[emoji1614][emoji276]
Naona kesi inafanyiwa betting nje ya mimbari za mahakama.

Mpo vizuri
 
Ndo mnavyojidanganya hapo ufipa? Kweli mmekosa akili nyie watu!

Inaelekea una umri mdogo sana! Uliza komando Tamimu alifanywaje na vyombo vya dola mwaka 1981 baada ya kuongoza jaribio la kutaka kumpindua nyerere?

Tanzania kwenye kudeal na wahalifu haijalishi wewe Nani wanakupa dozi tu!
Kuna watu stories za vijiweni za keko wanazihamishia JF, wanaleta fictions ambazo tulikuwa tunazijadili enzi tupo primary schools kutokana na immaturity hahaha! Zile za kusema mjeda na polisi wakizichapa nani anashinda, stories za akina power Mabula kuvuta gari kwa nywele..
 
..Urio ataletwa na upande wa mashtaka wakati kesi ya msingi itakapoanza kusikilizwa.

..Ni shahidi muhimu sana wa upande wa mashtaka kwasababu yeye ndiye anayedaiwa kutoa tip kwa polisi kuhusu kuwepo kwa njama za ugaidi.

Kabisa mkuu, kama kweli ni yeye aliyechora ramani…. ilikuwaje akamatwe pia na kuteswa huko Mbweni?

Tunahitaji kumsikia.
 
Awekwe sehemu salama na nani? Hawa hawa Polisi au CDF Mabeyo? Lazima atakuwa upande wa serikali kwa manufaa ya nchi. Tumieni akili kidogo Urio ni mwanajeshi akiambiwa tu na mabeyo fanya hivi atafanya. Angekuwa mwana siasa ningesema kweli angepambana.
Possibly kabisa Urio pia aliteswa na akalazimishwa kusimama upande wa polisi. Kubwa zaidi Urio aitwe naye atoe ushahidi, hapa kuna watu wataaibika. Atoe ushahidi kisha awekwe sehemu salama
 
Akiwa upande upi, mashtaka au utetezi?

Mashahidi kadhaa wa upande wa utetezi taarifa zao zimewekwa kapuni. Anaweza kuwa ni mmoja wa hao?

Hapo kwenye upande sasa ni utata, akiwa huru kusimamia kweli tutajua upande wake…. ila kwa kuteswa kwake duh!!
 
Back
Top Bottom