Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Ndo mnavyojidanganya hapo ufipa? Kweli mmekosa akili nyie watu!Kuna assassinations za fictions zinakuja ngoja tuombe uhai, Mungu ni mwema hii aibu kwa makomandoo lazima italipwa soon. Uzuri Rais mwanamke watajuta kutia doa makomandoo.
Tuliza pressure. Hii ni kesi ndogo iliyoibuka ghafla ndani ya kesi kubwa. Kwenye kesi kubwa ni wazi kuwa mashahidi ni wengi lakini raia ni wachache sana.Possibly kabisa Urio pia aliteswa na akalazimishwa kusimama upande wa polisi. Kubwa zaidi Urio aitwe naye atoe ushahidi, hapa kuna watu wataaibika. Atoe ushahidi kisha awekwe sehemu salama
Wajinga sana hawa bavicha! Wanadhani Mahakama itawaonea huruma!Kufungua threads nyingi kuomboleza kuwa mbowe Hana hatia nikujichosha bure hizi porojo na blah blah hazimfutii ugaidi
Tanzania bila ugaidi inawezekana
Ndo akili zako za kibavicha zinavyokwambia?Tuliza pressure. Hii ni kesi ndogo iliyoibuka ghafla ndani ya kesi kubwa. Kwenye kesi kubwa ni wazi kuwa mashahidi ni wengi lakini raia ni wachache sana.
JPM alipochomekewa hii kesi akasema... "Aiiiiiiiiii baghosha achaneni nayo majameni..."
Tambua tu kuwa hii kesi inaibua vita na visasi vya siku nyingi baina ya PT, TISS na JWTZ.
Swala la Police kuwateka na kuwatesa Makomandoo wa JWTZ, ambao wana Mahakama, Mahabusu na Police wao (Military Police MP, Martial Courts, Martial Lock Ups) zao pindi wanapotenda kosa. Police walipata baraka kutoka wapi??? Kwa CDF Mabeyo au IGP Sirro au Rais???[emoji15][emoji15][emoji15][emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827]Hii kesi ikiendelea ni aibu kwa serikali na ikifutwa na DPP ni aibu kwa serikali. Aibu haikwepeki kwa serikali kwa njia yoyote ile, yani kunyoa au kusuka hawapendezi.
Kuna leo duniani na kesho kwa............Wangekuwa wanajeshi sheria na miongozo ya watumishi wa umma hussusani jeshi ingewalinda lakini walikuwa wameshafukuzwa kwa hiyo wameteswa kama wahalifu wengine raia, Ki ukweli hairuhusiwi kabisa kumtesa mtuhumiwa kwa sababu bado hajathibitika ni mhalifu na hata ikithibitika hukumu ya mahakama ndoo adhabu , Ki uhalisia kwa Africa yote wanaanza kumtesa mtuhumiwa ili kama anaweza kutoa taarifa za kuwaongoza polisi kupata taarifa nyingi na ushahidi kwa sababu hatuna technolojia na resource hela ya kufanya upelelezi kwa muda mrefu na kupitia chanel nyingi , kwa hiyo shotcut mtese afunguke chap chap
Mzee ata wewe wewe haujui walishafukuzwa jeshini?duhswala la Police kuwateka na kuwatesa Makomandoo wa JWTZ, ambao wana Mahakama, Mahabusu na Police wao (Military Police MP, Martial Courts, Martial Lock Ups) zao pindi wanapotenda kosa. Police walipata baraka kutoka wapi??? Kwa CDF Mabeyo au IGP Sirro au Rais???[emoji15][emoji15][emoji15][emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827]
Naona kesi inafanyiwa betting nje ya mimbari za mahakama.Ndugu zangu!
Kwa wale tunaofuatilia kwa ukaribu hii kesi pendwa, tutakumbuka maelezo muhimu kutoka kwa mashahidi wa pande zote mbili.
Kwenye kesi ya msingi, tulisikia ushahidi wa ACP Kingai akimtaja Luteni Denis Urio kuwa alitumika kama mtego kwa sharti la kuripoti kila hatua.
Kwa maelezo yake, Urio alihusika 'kumtafutia' Mbowe wasaidizi aliowahitaji. Ikawa hivyo.
Hapa tulitegemea kuwa Urio 'amemchoma' kwa kuripoti mipango yake inayoitwa ya ugaidi.
Lakini kwenye ushahidi wa kesi ndogo uliotolewa na Komandoo Ling’wenya (mtuhumiwa), yeye kamtaja Urio kuwepo kwenye moja ya mahabusu za hao wanaoitwa magaidi na amemshuhudia akipitia mateso kama hao wengine.
Hii inatupa mwelekeo gani? Kwanini mtu aliyetajwa kufanikisha ukamatwaji wa magaidi naye anakula kichapo?
Urio yupo upande gani?
Japo si mmoja wa mashahidi katika hii kesi ya msingi, lakini sasa ni rasmi ameingizwa na itabidi apande kizimbani.
Ushahidi wake unaweza kutusogeza hatua nyingi kuelekea kuufahamu ukweli, tunamhitaji Luteni Denis Urio kizimbani bila kukosa.
Ncha Kali.[emoji1614][emoji276]
Denis Urio naye katimuliwa?Acha upotoshaji wa makusudi, hao watu walishatimuliwa jeshini hivyo ni raia wa kawaida tu na wanakuwa treated kama raia, ndiyo maana waliweza hata kuomba kazi ya ulinzi kwa bwana Mwamba.
Nimemjibu aliyechangia kutokana alichoandika kuhusu hao wanajeshi, but kufukuzwa kwao jeshini haihalalishi wao kupewa mateso na polisiDenis Urio naye katimuliwa?
Kuna watu stories za vijiweni za keko wanazihamishia JF, wanaleta fictions ambazo tulikuwa tunazijadili enzi tupo primary schools kutokana na immaturity hahaha! Zile za kusema mjeda na polisi wakizichapa nani anashinda, stories za akina power Mabula kuvuta gari kwa nywele..Ndo mnavyojidanganya hapo ufipa? Kweli mmekosa akili nyie watu!
Inaelekea una umri mdogo sana! Uliza komando Tamimu alifanywaje na vyombo vya dola mwaka 1981 baada ya kuongoza jaribio la kutaka kumpindua nyerere?
Tanzania kwenye kudeal na wahalifu haijalishi wewe Nani wanakupa dozi tu!
Ukute wewe ndiye polisi uliyebanwa mahakamani.Kufungua threads nyingi kuomboleza kuwa mbowe Hana hatia nikujichosha bure hizi porojo na blah blah hazimfutii ugaidi
Tanzania bila ugaidi inawezekana
umekalia kigogoKufungua threads nyingi kuomboleza kuwa mbowe Hana hatia nikujichosha bure hizi porojo na blah blah hazimfutii ugaidi
Tanzania bila ugaidi inawezekana
Hii kesi ikiendelea ni aibu kwa serikali na ikifutwa na DPP ni aibu kwa serikali. Aibu haikwepeki kwa serikali kwa njia yoyote ile, yani kunyoa au kusuka hawapendezi.
..Urio ataletwa na upande wa mashtaka wakati kesi ya msingi itakapoanza kusikilizwa.
..Ni shahidi muhimu sana wa upande wa mashtaka kwasababu yeye ndiye anayedaiwa kutoa tip kwa polisi kuhusu kuwepo kwa njama za ugaidi.
Possibly kabisa Urio pia aliteswa na akalazimishwa kusimama upande wa polisi. Kubwa zaidi Urio aitwe naye atoe ushahidi, hapa kuna watu wataaibika. Atoe ushahidi kisha awekwe sehemu salama
Akiwa upande upi, mashtaka au utetezi?
Mashahidi kadhaa wa upande wa utetezi taarifa zao zimewekwa kapuni. Anaweza kuwa ni mmoja wa hao?