Kesi ijayo ya Lissu, Wanachadema zaidi ya 10,000 wawepo mahakamani

Vita ya majimaji waliohasisi wazee wetu ianze sasa tumechoka , unapigaje watu tena waliotii amri ya kukaa chini , njia zozote ziwe za maombi au ushikina zitumike ,tumechoka sasa ,tunadhalilisha nchi kwa ujinga mdogo tu.
Tafuta chimbo ulambe asali Mzee
Huon wenzako wanaendesha v8
 
Watu wa Gwajima walionesha mfano
Na wale ndo walikuwa starting point, shida haya mambo yanakua haya umoja. Ingekuwa kama wale walivyoanza na wengine wanaungana nao then kitu inakua out of control
 
Dawa na wewe ibaaaaa......
Shamba bibi
Tanzania ni nchi maskini sana, kama unaona Wote tukiiba ni sawa basi ubatizo.

Taifa dogo la Israel linauchumi mara 10 ya Tanzania bado hawaibi ovyo
 
Tanzania ni nchi maskini sana, kama unaona Wote tukiiba ni sawa basi ubatizo.

Taifa dogo la Israel linauchumi mara 10 ya Tanzania bado hawaibi ovyo
Kama viongoz wako wanaiba wewe sisimizi unakwama wapi
 
Wanaume wa Dar waoga sana
Wanajua kubambia makalio ya wanawake kwenye daladala
 
Huku unatumia jina feki

Nyie vibogoro bana

Tumia majina halisi sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…