Kesi mbalimbali za kampuni ya DP World inayotaka kuendesha bandari ya Dar es Salaam

Uzi wako ni mzuri mno ya kuwa hawa sio watu wepesi! Ukiingia nao tuu mkataba halafu uje kuzingua utaona cha mtemakuni. Hii kampuni ndiyo inayotakiwa katika ulimwengu wa sasa maana yake ni kuwa hawa jamaa sio wababaishaji.

Kwa maoni yangu hawa wapewe sekta zote nyeti kama Tanroad, TRA, Takukuru, BOT na nyingine nyingi tuu.
 
Mbwembwe nyingi za kuleta taarifa za DP World tukisahau kuwa mkataba haujawekwa wazi mpaka wadau wauzungumzie kama alivyosema Spika.

Tutulie muda ukifika mjadala utaanza kuliko kuwa vimbelembele wa kutaka kuonekana tunajua kila kitu.
 
Bi Tozo hawezifanya kila kitu kuna wasaidizi wake aliyewaamini ndiyo wanamuingiza chaka ,inabidi sisi ndiyo tumwambie ili achukue uamuzi....Hao wasaidizi wanafanya kwa maslahi yao binafsi na siyo ya nchi.
Bado najiuliza yeye kusoma hajui? Pia kabla ya kusaini mikataba huwa kuna mazungumzo, hayo mazungumzo nayo huwa hayaelewi?

Fei alisema amesaini mkataba kimakosa yanga kwa kuwa hajui kiingereza. Unataka kusema raisi nae hajui kiingereza?
 
The buck stops with the President, full stop!
 
Hao ni wezi wamekataliwa kila mahali.
 
Nimemsikiliza DG wa Bandari sijamuelewa

eti DP wanaendesha Bandari ya Kigali kwa hiyo tukaona tushirikiane nao

yaani reference ya kupewa Bandari zote za Tanganyika ni kusimamia maghala ya Kigali (eti Bandari)
Dp wanaendesha bandari marekani na ulaya we ng'ombe...arabphobia(islamophobia) inawasumbua Sana,angekua mzungu hapo vikundu mngevibana
 
Weka masharti yao yanayosababisha watu wachomoe na mikataba yao

Ungejaza nyama kidogo au acha nitafute kwenye mitandao sawa?

Mwanzo wanasaini halafu wanabadili Gia kwanini
Au ni maneno ya mezani halafu wakisaini ni tofauti? Na je ni wajinga kiasi gani hao wanatongozwa kwa pipi wanakubali?
 
Sehemu karibu zote hapo kuna maandishi "DP World was seeking damages for alleged breaches of contract and expropriation by................."

Miaka kadhaa ijayo hapo penye ................. patajazwa jina la "tazama ramani ninaona nchi nzuri...."
 
Ingia google
 
Nimemsikiliza DG wa Bandari sijamuelewa

eti DP wanaendesha Bandari ya Kigali kwa hiyo tukaona tushirikiane nao

yaani reference ya kupewa Bandari zote za Tanganyika ni kusimamia maghala ya Kigali (eti Bandari)
Mkuu wachumia tumbo ni watu wabaya sana! Hao hawajui hata kilo ya unga inauzwaje huku mtaani!
 
Bibi tozo sidhani hata alielewa mkataba unasemaje
'Bibi Tozo" ubongo mdogo. Uwezo mdogo mno wa kufikiri. Watanzania watu wa ajabu sana sisi. Mtu akiwa msemaji (mpiga kabhobho), fundi wa kuhutubia, tunamchukulia kuwa ana uwezo mkubwa wa akili na kuongoza. Vijana badilikeni. Unganeni kuleta mabadiliko ya kiutawala.
 
Bado najiuliza yeye kusoma hajui? Pia kabla ya kusaini mikataba huwa kuna mazungumzo, hayo mazungumzo nayo huwa hayaelewi?

Fei alisema amesaini mkataba kimakosa yanga kwa kuwa hajui kiingereza. Unataka kusema raisi nae hajui kiingereza?

The buck stops with the President, full stop!
Nasemaje ,Mh Rais hawezi kusoma au kufanya kila kitu ,wasaidizi wake ambao anawaamnini ndiyo wanamuingiza chaka,katika hiyo summary ndiyo wanamuingiza chaka ,rais ana ripoti zaidi ya milioni sasa akiwa anazisoma zote si atakuwa halali kabisa? Hao wanaompa taarifa ndiyo wanampotosha.
 
Kupitia mkataba?!
Acha kucheza na pesa wewe; pesa huvunja nguu na milima ikalala!
 
Mbwembwe nyingi za kuleta taarifa za DP World tukisahau kuwa mkataba haujawekwa wazi mpaka wadau wauzungumzie kama alivyosema Spika.

Tutulie muda ukifika mjadala utaanza kuliko kuwa vimbelembele wa kutaka kuonekana tunajua kila kitu.
Tusubiri spika?! Spika yupi? Huyu huyu tuliye naye?! Watu wanajua taarifa zote hata za siri. Wanakusaidia kukuhabarisha wewe mburura hata ukifa angalau ujue kinachokuua!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…