Kesi namba 456: Jamhuri dhidi ya JamiiForums - Oilcom na Uchakachuaji/Ukwepaji kodi bandarini Dar

Mwisho wa siku ujue lissu anakupigania wewe! So ingekua njema kama ungejitolea walau ukamsaidie!! Haya mambo sijui kumshinda...sijui mungu wa sheria hayana maana kwa sasa!! Kama una mbinu nenda kamsaidie upiganie JF!!
 
Hahahahahahaha Tundu lissu utamuua huyo jamaa maana ninavyoona hata akiulizwa kama huwa anakula atasema hapana coz kashapaniki
 
Eti yak
Eti yakamtoka macho!!macho yapi hayo ya mjusi guluguja aliyebanwa na mlango au Fundi saa anayetafuta adjust ya funguo iliyopotea ndani ya saa..
Fafanua mkuu!!!...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mbona mjusi guluguja
 
Yaan wakati mwingine serikal inachezea kodi za wananchi bure tu.... Huo muda wa kukimbizana na wananchi kwa mambo yasiyo ya msingi wangekuwa wameuweka kwenye kufanya mambo ya maendeleo tungekuwa mbali sana... Ona sasa na hii wanaenda kushindwa na mwishoe kudaiwa fidia ya mamilioni[emoji27][emoji27]
 
Lissu ni mtaalamu hasa wa mambo ya sheria. nakumbuka kwenye ile kesi yake ya uchochezi wa Zanzibar alimuuliza shahidi ambaye ni rpc wa Ilala aseme makala aliyoandika yeye Lissu kwenye gazeti la Mawio ina aya ngapi zenye maneno ya uchochezi.
 
Amina Mshana Jr.
Wenye imani ziwe za mababu au Mungu, tusiache kuombea ushindi.

Mtani nimeshamaliza mchezo wote katika ' Mizimu ' yetu ya ' Kizanaki ' Mwitongo hivyo Kesho mkienda tena Mahakamani msisahau kubeba ' bisi ' za Kutafuna pale au nitakuletea ' Nsenene ' utafune vizuri kwani ushindi kwa JamiiForums upo na ni wa ' kutukuka ' kabisa. Mpe Hi Max, Mike, Asha na Moderators wote wa JF. Tupo nyuma yenu 24/7 na tutaendelea ' kutiririka ' kwa kutoa facts mpaka watukome na wanyooke na anayeichukia JF automatically huyo ni Mchawi.
 
Mwisho wa siku ujue lissu anakupigania wewe! So ingekua njema kama ungejitolea walau ukamsaidie!! Haya mambo sijui kumshinda...sijui mungu wa sheria hayana maana kwa sasa!! Kama una mbinu nenda kamsaidie upiganie JF!!
Serikali makini kabisa kabisa haiwezi kuifuta wala kuifunga JF.

Nina imani pia wakuu wetu Max na Mike watatendewa haki, kwani ni kazi kubwa wameifanya kwa Tanzania yetu kwa wao kuendelea kuhakikisha JF inaendelea kufanya kazi. Nadhani wataelekezwa namna bora ya kuendesha JF bila kuathiri sheria zetu za nchi.

Mungu wabariki Max na Mike warejeshewe "uhuru kamili" ili waendelee kuwatumikia watanzania kupitia Mtandao huu wa JF. Amen
 

Ndio maana nakushauri umuombee lissu maana ndiye anaitetea jf mahakamani dhidi ya hiyo serikali ya ccm chini ya magu!!
 
Hivi server za jf ziko wapi??? Mods pelekeni server milimani kusiko julikana. Maana siku hizi watawa tongwe na kuwa clouds tuuu.
Tundu Lissu live long nakupenda sana baba
Max and mike juuuuu
 
Lisu tena? Hahahahah wajipange aiseee
Nadhani huyo afande hakujua kama anaenda kukutana na Lisu. Kitendo cha shahidi mwenye cheo hicho, na ambaye kaandaa mashitaka kujikuta mambo mengi "hajui" ni udhaifu mkubwa wake mwenyewe na wanasheria wa serikali. Hata isue ya kumimpeach shahidi bado inaweza kumshinda, duuuuuu!!!!!!!?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…