Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Mkuu kwa upande mwingine tunakua tunawalaumu bure, hizi kesi ni za kisiasa hazina mantiki, na wao kwa NJAA hawawezi kataa kwenda mahakamani maana kazi atafukuzwa!!Wakati Mkurugenzi wa Jamii Forum anamtafuta mtu mahili aliyesoma na kuelewa vitu na kuvitendea kazi Mh., Mbunge, Mwanasheria, Rais Antipus Tundu Lissu Serikali ya CCM inatafuta watu wanajua kusoma na kuandika bila uwelewa, vilaza, ndio , sijui, sina uhakika, wenzangu watakuja kujibu, ngoja nikaulize..... tunawalipa bure kodi zetu.
LAKINI JIULIZE KWANINI POLISI HAWAJAKAGULIWA VYETI LEAVE ALONE BASHITE AND THE ALIKE!