Usiangalie tu mil tatu angalia implication ha hukumu kwa JF na kwa Max mwenyewe.Wekeni utaratibu michango ianze. Mil tatu si kitu tuko wengi sana humu.
Kapewa mwaka moja ama faini ya m3. Tupatie msimamo wa kuchukua hatua.Haki isipotendeka tuchukue hatua
πππSheria hata wanasheria na mawakili wasomi wenyewe hawaielewi.
Unaweza ukakuta wanabishana mbili ni namba mwingine anasema numerali,na atakayeshindwa kutoa evidence,anapatikana na hatia.
Hivyo waachie wao ndio wanaweza huo mchezo
Sent using Jamii Forums mobile app
Fanyeni haraka mil tatu ndani ya saa moja itakuwa imepatikana. Wasije wakaenda nae Segerea.
Acha uswahili kwa hiyo unataka aende segerea? Mil tatu ichangishwe kabla hawampeleka segerea. Kama wewe unataka kukata rufaa tafuta muda wako.Hiyo hukumu sio sahihi.
Kumbe wameshalipa nilidhani tulipaswa kuwachangia