Kesi ndogo ya Freeman Mbowe: Shahidi akamilisha ushahidi wake, Shahidi mwingine kuendelea tarehe 12/11/2021

Sema kuna ubambikiaji mzito🏋️.
 
Ya.leo.ushaipata au

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Kijana wa hovyo haya ushindi wa jaji kwa mtazamo wake au kuna kingine
 
ulizaliwa ktk upuuzi, unaishi ktk upuuzi na hata andika yako ni upuuzi
 
Kwa kuwa unafuatilia hii kesi kiitikadi za kisiasa lazima uone kama hivyo, ila nikuambie tu haya yanayoendelea kwenye kesi ya Mbowe ni mwiba mbaya sana kisheria huko tuendako. Kuna msemo unaosema hivi kwenye maandiko matakatifu "Kwa maana kama wamefanya hivi kwa mti mbichi, kwa mti mkavu itakuwaje?”
Mwenye masikio na asikie
 
Hivyo upande wa mashtaka walipaswa kufanya taratibu za kukiomba tena lakini hakuna ushahidi kwamba upande wa mashtaka ulikiomba ili kitumike kwenye shauri hili bali kimejikuta tu mkononi mwa shahidi.
#KesiMbowe #MwananchiUpdates
Impact yake ni ipi kwenye hii case mkuu?
 
Tunajua ni ngumu kukataliwa kwa kielelezo hicho sbb mashahidi wengi wa serikali huwa wanatengenezwa.
Kazi ipo mwaka huu

 


Kina Mbowe washinda pingamizi kwa mara ya kwanza

Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi imepokea pingamizi la kwanza la kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…