Kesi ndogo ya Freeman Mbowe: Shahidi akamilisha ushahidi wake, Shahidi mwingine kuendelea tarehe 12/11/2021

Ili kujiepusha na upendeleo katika uhabarishaji hii kesi ingeliwekwa spika nje ya ukumbi au irushwe mubashara na TV zetu ili tupate mbivu na mbichi
 
Ungeacha wajadili watu wenye uelewa.
 
Mhemko mara nyingine ni hatari kwa Afya yako
 
Kielelezo kimesha tupwa kwenye dust bin kule, Kwa hiyo na wewe toka kwenye kichaka chako cha ujinga!
 
Naona pingamizi limekuwa la moto sana jaji kalitema ile kufunika kombe mwanaharamu apite.
Baada ya kuihusisha mahakama kushiriakiana na upande wa mashtaka isivyo halali
Na leo ndiyo angeachiwa Mahakama yake na Mawakili wa upande wa Utetezi.
 
Makelele yamekuwa mengi sana kwenye mitandao hasa huko twitwer ameona watu wameanza kulalamika mahakama kutozingatia sheria akaona ngoja aepuke hii aibu
Ni kweli asingefuata sheria kwa hili legacy yake ingepotelea mbali.
Watu wanasoma vzr hii kesi huko mtaani na ingewashangaza km isinhekuwa.
 
Mhemko mara nyingine ni hatari kwa Afya yako

Changa la macho hilo wewe... huyu jaji anajua anachokifanya!
Imagine nyaraka iliyokuwa imekwisha pelekwa stoo ilinyofolewa na ikaletwa tena mahakamani bila utaratibu unaoeleweka, huko nyuma ya pazia kuna mengi yanaendelea, kwenye mojawapo ya pingamizi lililotupiliwa mbali na jaji linahusisha nyaraka iliyoeditiwa! Hapa jaji anajaribu kubalance ili ionekane anatenda haki!
Mapingamizi mengine yatakayowekwa anaweza akayatupilia mbali yote...
 
hatuna Police wa kimahakama tuanze kumsaka huyu jamaa aliyechomoa documents kutoka chumba cha mtunza kumbukumbu na kuileta kizimbani kumpa shahidi ? maana pamoja na maamuzi ya Jaji kufanyika, ila huyu jamaa ni vizuri tukamchomoa humo kwanza tukahangaika naye maana huenda hii ndiyo imekuwa kazi yake ya kuchomoa documents za mahakama na kuzifanyia deal. Natoa hoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…