Kesi ndogo ya Freeman Mbowe: Shahidi akamilisha ushahidi wake, Shahidi mwingine kuendelea tarehe 12/11/2021

sijui kwenye sheria mnaitaje, ila sisi watu wa soka hii kitu tunaita game tactics.
 
Kichwa maji
 
Limepokewa
 
unapokuwa wakili ukawa mvivu wa kujisomea majarida na hukumu za kesi mbalimbali na vigezo vilivyotumika kufikia uamuzi huo basi utakuwa wakili mzigo kwa mahakama, naona mawakili wa kujitegea huwa wako vizuri na well informed.
 
unapokuwa wakili ukawa mvivu wa kujisomea majarida na hukumu za kesi mbalimbali na vigezo vilivyotumika kufikia uamuzi huo basi utakuwa wakili mzigo kwa mahakama, naona mawakili wa kujitegea huwa wako vizuri na well informed.
...mawakili wa kujitegemea...
 
Jaji: Kwa sababu hiyo mahakama inakikataaaaa kielelezo hiki natoa amri.

- Mawakili wa pande zote wanasimama na kuinama

Tupo tunafuatilia kwa makini mwenendo wa kesi, maamuzi ya leo hayatufanyi tusiendelee na umakini wetu mpaka mwisho wa kesi hii ya kihistoria.
 
Mtobesya: Ni hizo Taarifa tu au Mlikuwa na Zingine?

Shahidi: Kimyaaa

Mtobesya: Ni nani aliwasaidia Kuwapa Taarifa Mpaka Mkajua Eneo alilokuwa Ling'wenya?

Shahidi: Nilikuwa na Mkuu wangu Afande Kingai yeye Ndiye alikuwa anajua aliyekuwa nampa taarifa
 
watu wa upande wambowe waoga sana yaani walikuwa hawatoiupdate mpaka waliposikia kielelezo hakijapokelewa mbowe anafungwa wala wasijisumbue
 

Hivyo siyo sababu za ukomandoo kama shahidi mwingine aliyekwisha hojiwa alivyosema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…