Kesi ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Simiyu anayetuhumiwa kulawiti imeishia Wapi?

Hata ya afsa TRA aliyekamatwa na meno ya tembo nayoo uwezi sikia muendelezo Tena..

CCM wanajua kubebana km kanisa katolikii tu .padri analawiti na kesi hakuna anapelekwa mkoa mwingine kuendeleza alipoishia mkoa alikotokaa ..bac n vurugu tupuu
Hata kesi ya Kapiya Foundation ya kusambaza vitabu vinavyoeneza ushoga kule Tabora nayo imekufa kifo cha mende.

Lkn kesi ya dogo aliyeamua kuchoma takataka za karatasi yenye picha ya Samia imeamuliwa ndani ya siku 3.
 
Hizi ndio kesi za sereikali ku-deal nazo na sio eti mtu kachoma picha!
Tufike mahali tuache ku-deal na kesi au mambo yasiyo na TIJA kwa Taifa
 
Sheria zipo kuhakikisha wanaanchi mnatawalika, nasio viongozi, je jamaa alikua mwananchi wa kawaida ? Hapana, mfumo unamlinda mpaka Raisi aingilie kati.
 
Wadau mtaniwia radhi kidogo kuwa nimepitwa na wakati.

Niko nje ya nchi kwa muda sasa, na chanzo kikubwa cha habari ninachotegemea na kukiamini ni hapa JF, lakini sijaona habari yoyote ya muendelezo wa Kesi ya ulawiti ya kigogo mmoja huko Simiyu aliyekuwa RC zaidi ya habari za mwisho za waandishi kukamatwa.

Je, ndio ilikufa kifo cha mende au ilizimwa kibabe?

Pia soma
Hakuna kesi, Nawanda hajawahi kubaka wala kulawiti mtu, hiyo ni siasa za maji taka za WAZIRI ASIYE NA WIZARA MAALUMU, MKONGWE, MBUNGE NA WAZIRI KIKONGWE.

Hiyo ni baada ya Nawanda kuonesha nia ya kwenda kugombea huko UMAKONDENI.

Dawa alipewa ndo hiyo ya kuandaliwa mtego ili kuchafua IMAGE yake.

Uchaguzi mkuu ulopita Mkurugenzi mmoja wa wizara ya maji, alitaka Kwenda kugombea, akageuzwa akili sasa ni zwazwa, USIKU ANAUONA MCHANA NA MCHANA ANAUONA USIKU.

Hiyo ni kutokana na kujaribu kuchezea PUM.B....U za Mzee, ambaye gwiji lake liko MSUMBIJI.

Natoa wito mtu anayetaka jimbo hilo apate ridhaa ya BABU .

Hiyo ndo story ya RAFIKI,NA NDUGU YANGU Yahaya Nawanda.

Siasa ni ngumu sana.
 
kesi ya waliopmoiga risasi Lissu iliishia wapi ?
 
Unamaanisha yule ambaye yupo hata Yanga?
Kama ni huyo huna haja ya kuficha utambulisho wake, hawa sio wa kuwalea lea maana wanatuharibia nchi. Mkuch hajatosheka tuu ulaji?
 
Wadau mtaniwia radhi kidogo kuwa nimepitwa na wakati.

Niko nje ya nchi kwa muda sasa, na chanzo kikubwa cha habari ninachotegemea na kukiamini ni hapa JF, lakini sijaona habari yoyote ya muendelezo wa Kesi ya ulawiti ya kigogo mmoja huko Simiyu aliyekuwa RC zaidi ya habari za mwisho za waandishi kukamatwa.

Je, ndio ilikufa kifo cha mende au ilizimwa kibabe?

Pia soma
Yalikuwa ni maigizo tupu, magereza ni ajili ya masikini pekee kwa Tanzania
 
Wadau mtaniwia radhi kidogo kuwa nimepitwa na wakati.

Niko nje ya nchi kwa muda sasa, na chanzo kikubwa cha habari ninachotegemea na kukiamini ni hapa JF, lakini sijaona habari yoyote ya muendelezo wa Kesi ya ulawiti ya kigogo mmoja huko Simiyu aliyekuwa RC zaidi ya habari za mwisho za waandishi kukamatwa.

Je, ndio ilikufa kifo cha mende au ilizimwa kibabe?

Pia soma
Daaah! Wanataka kufunika!
 
Mahuta Shimoni Newala! Kwa watuma salamu maarufu wa RTD!
 
Huyo Binti ni mhuni,

Na anatumiwa na maadui wa huyo Mkuu wa Mkoa.

Huyo Binti anaonekana kapewa dau kubwa zaidi ya aliliotoa huyo Mkuu wa Mkoa ili wabaya wa huyo Mkuu wa Mkoa wamwangamize.
 
Back
Top Bottom