Zegreaty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 1,253
- 1,056
Vuta picha hii
Vuta picha hii angekua nayo kiongozi yoyote wa upinzani?Muda sidhani hata kama dhamana tu angepataWadau mtaniwia radhi kidogo kuwa nimepitwa na wakati.
Niko nje ya nchi kwa muda sasa, na chanzo kikubwa cha habari ninachotegemea na kukiamini ni hapa JF, lakini sijaona habari yoyote ya muendelezo wa Kesi ya ulawiti ya kigogo mmoja huko Simiyu aliyekuwa RC zaidi ya habari za mwisho za waandishi kukamatwa.
Je, ndio ilikufa kifo cha mende au ilizimwa kibabe?
Pia soma