Hakuna kesi, Nawanda hajawahi kubaka wala kulawiti mtu, hiyo ni siasa za maji taka za WAZIRI ASIYE NA WIZARA MAALUMU, MKONGWE, MBUNGE NA WAZIRI KIKONGWE.
Hiyo ni baada ya Nawanda kuonesha nia ya kwenda kugombea huko UMAKONDENI.
Dawa alipewa ndo hiyo ya kuandaliwa mtego ili kuchafua IMAGE yake.
Uchaguzi mkuu ulopita Mkurugenzi mmoja wa wizara ya maji, alitaka Kwenda kugombea, akageuzwa akili sasa ni zwazwa, USIKU ANAUONA MCHANA NA MCHANA ANAUONA USIKU.
Hiyo ni kutokana na kujaribu kuchezea PUM.B....U za Mzee, ambaye gwiji lake liko MSUMBIJI.
Natoa wito mtu anayetaka jimbo hilo apate ridhaa ya BABU .
Hiyo ndo story ya RAFIKI,NA NDUGU YANGU Yahaya Nawanda.
Siasa ni ngumu sana.