Kesi ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Simiyu anayetuhumiwa kulawiti imeishia Wapi?

Kesi ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Simiyu anayetuhumiwa kulawiti imeishia Wapi?

Hata ya afsa TRA aliyekamatwa na meno ya tembo nayoo uwezi sikia muendelezo Tena..

CCM wanajua kubebana km kanisa katolikii tu .padri analawiti na kesi hakuna anapelekwa mkoa mwingine kuendeleza alipoishia mkoa alikotokaa ..bac n vurugu tupuu
Huyo hajatoboa, ni vile kesi yake haiendeshwi na vyombo vya habari. Watanzania mjifunze kufuatilia vitu without kutegemea vyombo vya habari , ukikwa ukategema akina wasafi media na etc wakutangazie nn kinaendelea utangoja sana
 
Wadau mtaniwia radhi kidogo kuwa nimepitwa na wakati.

Niko nje ya nchi kwa muda sasa, na chanzo kikubwa cha habari ninachotegemea na kukiamini ni hapa JF, lakini sijaona habari yoyote ya muendelezo wa Kesi ya ulawiti ya kigogo mmoja huko Simiyu aliyekuwa RC zaidi ya habari za mwisho za waandishi kukamatwa.

Je, ndio ilikufa kifo cha mende au ilizimwa kibabe?

Pia soma
hata wakizima kibabe hawawezi kuzima katika nafsi zao na za watu ukweli utabaki ukweli tu.
hata wakitoa hela haiwezi kufuta machozi ya binti yaliyoanguka kwenye udogo kwa uchungu.
lakini vyovyote vile kwa kiasi kikubwa ndivyo inavyoonekana taswira ya watawala na jamii wakiwa juu ya sheria walizotunga na kuapa kuzisimamia.
 
Fuatilia vyombo husika utapata habari na taalifa za kweli na uhakika.
 
Kafiwa au kafirwa!...huyu Binti kama Kuna watu wanatumia atajuta sana baadaye! Si mtetei Mfiraji...ila hii kitu ,huyu Binti na mama yake eangejitahidi wakae mbali media!
Hamna kesi hapa. Ni kwamba wabaya wa Yahaya Nawanda wamemutaiti. Hadithi ya tukio zima haiunganiki.

Kwanza yawezekana aliingia kwenye gari tu wala hakuguswa zaidi ya kupewa hela. Ila wabaya wake wali hakikisha tukio linakuwa captured tu kwenye CCTV za Rock City Mall kwa ajili ya kutimiza azma yao.

Kwa ukwasi wa RC na profile aliyonayo, asingeweza kusex naye kwenye hizo parking lot. Yaani utoke Simiyu mpaka Mwanza kuja kutomba (sembuse kufira) kwenye gari? Halafu binti wa chuo, ukiniambia changudoa nitakubali
 
Kesi za viongozi nyingi kama zinawagusa wanyonge zina toweka kimaajabu ajabu kama hii ya yule aliyekuwa RC Simiyu kumlawiti mwanafunzi wa SAUT na yeye kuvuliwa madaraka.
Ajabu ni kuwa alifikishwa mahakamani mara moja na hakuna mwendelezo ulio ripotiwa.
Hiyo ni kesi ya jinai na inastahili kuripotiwa ili kiwe fundisho kwa wengine watendao uhalifu na sio kufichiana siri.
 
Wadau mtaniwia radhi kidogo kuwa nimepitwa na wakati.

Niko nje ya nchi kwa muda sasa, na chanzo kikubwa cha habari ninachotegemea na kukiamini ni hapa JF, lakini sijaona habari yoyote ya muendelezo wa Kesi ya ulawiti ya kigogo mmoja huko Simiyu aliyekuwa RC zaidi ya habari za mwisho za waandishi kukamatwa.

Je, ndio ilikufa kifo cha mende au ilizimwa kibabe?

Pia soma

Labda imezimika kama mshumaa
 
Mzee mwenzangu unaona hii ni sawa kweli?
Mambo haya ya machafu hayastahili vyeo kutumika kama kinga!
Naungana nawe lakini kwanini tusiachie mahakama ikafanya kazi yake haijailishi inachelewa au inawahi!
 
1. Kutosikia kesi kwenye vyombo vya habari sio kama kesi hiyo haiendelei Mahakamani.
2. Unajua rekodi za Mahakama ni public records kama unataka kujua kesi IPO hatua gani? Nenda Mahakamani utajulishwa.
 
Naungana nawe lakini kwanini tusiachie mahakama ikafanya kazi yake haijailishi inachelewa au inawahi!
Sawa. Lakini nini kinaendelea? Au we mwenzetu unajua utujuze? Awali tulikuwa tunaripotiwa hata kesi ikitajwa lakini sasa ni kimya kabisa.
 
Ukimsikiliza madeleka.kuhusu.muendelezo wa kesi ya afande wa kina nyundo utajua kwamba mahakama ziko.na.shida hasa kesi zikihusisha waheshimiwa refer.ile ya gekul
 
1. Kutosikia kesi kwenye vyombo vya habari sio kama kesi hiyo haiendelei Mahakamani.
2. Unajua rekodi za Mahakama ni public records kama unataka kujua kesi IPO hatua gani? Nenda Mahakamani utajulishwa.
Fact!
 
Sawa. Lakini nini kinaendelea? Au we mwenzetu unajua utujuze? Awali tulikuwa tunaripotiwa hata kesi ikitajwa lakini sasa ni kimya kabisa.
Kama hawaleti taarifa labda waandishi wameacha kufuatilia ila inaendelea ni kuvunja tu muda wako kupitia mahakamani kujua nini kinaendelea utapewa ushirikiano!
 
Back
Top Bottom