Kesi ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Simiyu anayetuhumiwa kulawiti imeishia Wapi?

Huyo yahay nawanda anaonekana alikuwa anachukiwa na baadhi ya vigogo wa polis na pia baadhi ya watu wenye fedha na madaraka hapo mkoani kwake hivyo hii kesi naona wanataka kuitumia ili wamkomoe.
 
Aliyefirwa amefuta kesi watafutane Tena wakaenjoy raha
 
La Nawanda kayatimba... Hapa Kuna vita kubwa Nawanda ni victim of circumstances!
Kwa mliosoma.Cuba, Nawanda ni kati ya vijana wa enzi za Ridhiwan ,ni kati ya vijana wa Kusini walioibuka enzi za zileeee!
 
Hakukua na kesi mzee kilicho kuwa knaendelea ni uchunguzi na wachunguzi ni polisi kwa kiufupi sana hapo hakuna kinacho endelea zaidi sana ataibuka chura kiziwi atatoa pole kwa mhanga kule kwetu chuga tunaweza sema HII IMENDA KABISA
 
ile kesi haijafika popote ila yule bint kaongea na media na kina heha wameingilia kati
 
Mtu anakubali kwenye media kafiwa watoto wake huko mbeleni wataishije



By the way huyu msichana ametumika ukiwa na Cmbili utagundua yupo kama yule aliyesema ni mtoto wa lowasa
 
Mtu anakubali kwenye media kafiwa watoto wake huko mbeleni wataishije



By the way huyu msichana ametumika ukiwa na Cmbili utagundua yupo kama yule aliyesema ni mtoto wa lowasa
Kafiwa au kafirwa!...huyu Binti kama Kuna watu wanatumia atajuta sana baadaye! Si mtetei Mfiraji...ila hii kitu ,huyu Binti na mama yake eangejitahidi wakae mbali media!
 
Hata ya afsa TRA aliyekamatwa na meno ya tembo nayoo uwezi sikia muendelezo Tena..

CCM wanajua kubebana km kanisa katolikii tu .padri analawiti na kesi hakuna anapelekwa mkoa mwingine kuendeleza alipoishia mkoa alikotokaa ..bac n vurugu tupuu
Inasikitisha sana
 
Hivi Mzee Mkuchika yuko wapi siku hizi jamani hasikiki kabisa.
 
Kama ni hivyo kwa nini wanaotaka kugombea hawaendi kwa Mwamposa??
 
Huyo mzeee lzm amejaribu kuloga akashwindwa akaamua atengeneze zegwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…