Kesi ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Simiyu anayetuhumiwa kulawiti imeishia Wapi?

Vuta picha hii
Vuta picha hii angekua nayo kiongozi yoyote wa upinzani?Muda sidhani hata kama dhamana tu angepata
 
Kama hawaleti taarifa labda waandishi wameacha kufuatilia ila inaendelea ni kuvunja tu muda wako kupitia mahakamani kujua nini kinaendelea utapewa ushirikiano!
Nimekumbuka! Kuna wakati mwandishi mmoja mwanamke wa Simiyu anaitwa Dana au Diana alisota sana ndani kwa kuandika na kufatilia habari hizo na ndio zilizo ibua kesi hiyo.
Ila kwa sasa iko mahakamani kwa nini hairipotiwi?
 
Natumaini umeshawakumbusha watairipoti!
 
Kensington inaamuliwa ijumaa Baraza la maulamaa
 
Alishahukumiwa kifungo cha maisha labda😏
 
Nawander
 
Watanzania ni watu wa kubebwa siku mbili baada ya hapo wamesahau, ukilijua hili wakibekwa wewe tulia kimyaaaa ni siku mbili unaendelea na mambo yako kama kawaida
 
mbona hatusikii tena, au ndio imeshaota mbawa? wakati bodaboda wanaotembea na wanafunzi tu wamejaa magerezani na hawajalawiti. naanza kuamini, gerezani ni kwa maskini, sio kwa tajiri au kiongozi. kina Nyundo Dodoma kesi ilichukua mwezi mmoja hadi kifungo, ila huyu RC alilawiti kabisa, imefikia wapi?
 
Imefikia patamu
 
RC yule ccm wanalindana kwa kila namna maana ndio tabia zao yule tu alicheza vibaya
 
Mfumo wetu wa utoaji haki unafikirisha sana. Hata unashawishi kukubaliana na wanasema "una matobo".
 
Mfumo wetu wa utoaji haki unafikirisha sana. Hata unashawishi kukubaliana na wanasema "una matobo".
imagine, kesi ya wale vijana wanajeshi iliendeshwa ndani ya mwezi imeisha. ila ya huyu mkubwa inatafutiwa upenyo iote mbawa.
 
imagine, kesi ya wale vijana wanajeshi iliendeshwa ndani ya mwezi imeisha. ila ya huyu mkubwa inatafutiwa upenyo iote mbawa.
Hata ile ya wale vijana, mtuhumiwa mwingine anayedaiwa kuwatuma wale vijana mbona yeye hakamatwi?
 
Twende na hii hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…