Je una uhakika walitenda dhambi hiyo? Au Usenge tu ndio uliokujaaCHANGAMOTO NI KWA WATOTO AMBAO KWA SASA WATAKUWA ABOVE 16YRS NAWAZAZI WAO WANAPO WAONA WABAYA WAO WAKO NJE YA JELA TULIAMINI KUWA SIYO RAHISI KUWASAMEHE WAUAJI WA AINA HII.. NAOSYLY NI MAJIRANI ZAO
Marando alinunuliwa na Jamaa wa Msoga,ChalinzeAhsante sana Kiongozi., sijaelewa ukakasi wa hili swala unatokea wapi ikiwa Marando ni miongoni mwa Mawakili wazuri na wazoefu!
Kweli we mbwa"nafikiria ndani ya box.,kwa nini watu wajichoshe kukusanya watoto 10..awafundishe uwongo wa kumsingizia Babu Seya..!?
'ilhali Seya wangeweza kwenda jela kwa 'teknik' nyingi tu rafiki..tena za siri zaidi.!'
'maswali ya mawakili huwa ni 'hatari' pasua kichwa.Wakili Msomi Mabere Nyaucho Marando na jopo lake nzima hawakumwakilisha vyema Babu Seya?'
Ibara ya 45 ndio imemtoa,upepo ukibadilika;atarejea tena.!!
Umetisha mzeeMwanadamu Daima huwa ana sura tatu......
1) Unayoiona wewe kwa macho yako
2) Anayoitaka yeye uione
3) Sura yake halisi ambayo hataki mtu yoyote aione......
Jambo lolote linalosemwa kumhusu mwanadamu haupaswi kulipinga na kulikatalia moja kwa moja na vile vile haupaswi kulikubali moja kwa moja.....
Kamnyonya nipplesPW5 evidence is fabricated! Tangia lini binti wa 5_7 years akawa na breasts? Inakuwaje amwambie amnyonye dudu lake wakati yeye anamnyonya (breasts)?
well said mkuu...hii kesi ilishajadiliwa sana humu..Hawa umaarufu wao ndiyo umewasaidia...
Wapo wengi wenye kesi km hzo lakini hawana umaarufu wala msaada ...wameozea huko...
Uki google hyo case na ukapata muda vzuri ukaisoma...utaona km hao jamaa kweli wabambikizwa basi ...ilkuwa planned na watu makini sana...
Lakini km siyo..basi hao jamaa walipaswa kufia huko..
Kwa sasa ukweli anaujua mtoa msamaha..... Km ni kweli walitenda kosa au walimbambikizwa.
Hayo mengine tuyaache km yalivyo.
Kwa kweli nipo njia panda. Mungu ndie anajua kila kitu na kama walifanya basi hawatakaa kufurahia huo uhuru waliopewa jana.Nimejikuta natoka machozi ya uchungu wa mzazi
sisi ndugu wa watoto waliobakwa hatujamsamehe....subiri binti yako abakwe ndio umsamehe mbakajiWatanzania tulisha msamehe Babu seya mtuache.
Unamaanisha alikuwa rewarded?2010 mmoja wa vibinti hivyo nilimuona Mt. Vernon,NY nikiambiwa baadae kuwa alifika huko baada ya kuwa sehemu ya mashahidi na kutenda vyema!!!
Inawezekana huelewei mambo mawili: Maana ya Rufaa, na katiba ya Tanzania.Kesi ulienda mahakama kuu wakaonekana wana makosa
Kesi ikaenda mahakama kuu wakaonekana wana makosa
Kesi ilienda hadi mahakama ya afrika waliomba
Review ya Kesi hii wakaonekana wana makosa
Sasa kama mimi bado sielewi elewi
Ova