Kesi ya Babu Seya na wanae - Ukweli ni upi haswa?

Kesi ya Babu Seya na wanae - Ukweli ni upi haswa?

CHANGAMOTO NI KWA WATOTO AMBAO KWA SASA WATAKUWA ABOVE 16YRS NAWAZAZI WAO WANAPO WAONA WABAYA WAO WAKO NJE YA JELA TULIAMINI KUWA SIYO RAHISI KUWASAMEHE WAUAJI WA AINA HII.. NAOSYLY NI MAJIRANI ZAO
Je una uhakika walitenda dhambi hiyo? Au Usenge tu ndio uliokujaa
 
Ahsante sana Kiongozi., sijaelewa ukakasi wa hili swala unatokea wapi ikiwa Marando ni miongoni mwa Mawakili wazuri na wazoefu!
Marando alinunuliwa na Jamaa wa Msoga,Chalinze
 
Nani asiye jua kuwa kesi ya babu seya ilikuwa ni yakutengenezwa..? Embu acheni unazi..
Hakuna mtu aliye lawitiwa hapo..
 
"nafikiria ndani ya box.,kwa nini watu wajichoshe kukusanya watoto 10..awafundishe uwongo wa kumsingizia Babu Seya..!?

'ilhali Seya wangeweza kwenda jela kwa 'teknik' nyingi tu rafiki..tena za siri zaidi.!'

'maswali ya mawakili huwa ni 'hatari' pasua kichwa.Wakili Msomi Mabere Nyaucho Marando na jopo lake nzima hawakumwakilisha vyema Babu Seya?'

Ibara ya 45 ndio imemtoa,upepo ukibadilika;atarejea tena.!!
Kweli we mbwa
 
Nilitengemea kupata audio au video kumbe ni huu upuuuziiiii, mwache akaendelee kumla mama salma,
 
Hivi mtu mzima kama Babu sea na umaarufu wote mademu wa kugegeda kibao alikoswa nini mpaka ahangaike na vibinti tena akishirikiana na wanae.

Yote yanawezekana ila binafsi hainiingii akilini kabisa.
 
Kwamba walikutwa na hatia, kwa sasa halina ubishi tena. Hata rufaa walizokata, zote walipoteza. Huyo aliyewa frame, alikuwa na uwezo wa kuhonga kote huko?

Muhimu sasa wamesamehewa adhabu waliyopaswa kuendelea kutumikia. Kusamehewa haina maana kwamba hukufanya makosa. Actually, unapokubali kusamehewa kimsingi unakuwa umekubali makosa.
 
Mwanadamu Daima huwa ana sura tatu......

1) Unayoiona wewe kwa macho yako

2) Anayoitaka yeye uione

3) Sura yake halisi ambayo hataki mtu yoyote aione......

Jambo lolote linalosemwa kumhusu mwanadamu haupaswi kulipinga na kulikatalia moja kwa moja na vile vile haupaswi kulikubali moja kwa moja.....
 
PW5 evidence is fabricated! Tangia lini binti wa 5_7 years akawa na breasts? Inakuwaje amwambie amnyonye dudu lake wakati yeye anamnyonya (breasts)?
 
Hawa umaarufu wao ndiyo umewasaidia...

Wapo wengi wenye kesi km hzo lakini hawana umaarufu wala msaada ...wameozea huko...

Uki google hyo case na ukapata muda vzuri ukaisoma...utaona km hao jamaa kweli wabambikizwa basi ...ilkuwa planned na watu makini sana...

Lakini km siyo..basi hao jamaa walipaswa kufia huko..

Kwa sasa ukweli anaujua mtoa msamaha..... Km ni kweli walitenda kosa au walimbambikizwa.

Hayo mengine tuyaache km yalivyo.
well said mkuu...hii kesi ilishajadiliwa sana humu..
kama ulivyoandika muhusika angekua Juma Ponda wa mbagala Kila mtu angelaani Ila kwa kuwa ni Babu seya ukweli unakua mchungu...
 
2010 mmoja wa vibinti hivyo nilimuona Mt. Vernon,NY nikiambiwa baadae kuwa alifika huko baada ya kuwa sehemu ya mashahidi na kutenda vyema!!!
Unamaanisha alikuwa rewarded?
ulijuaje alikuwa mmoja wapo WA vibinti wahanga?
 
Kesi ulienda mahakama kuu wakaonekana wana makosa
Kesi ikaenda mahakama kuu wakaonekana wana makosa
Kesi ilienda hadi mahakama ya afrika waliomba
Review ya Kesi hii wakaonekana wana makosa
Sasa kama mimi bado sielewi elewi

Ova
Inawezekana huelewei mambo mawili: Maana ya Rufaa, na katiba ya Tanzania.

(1) Rufaa huwa haisikilizi kesi upya, bali hutafsiri sheria kulingana na ushahidi uliotumiwa katika kesi ya awali, unless rufaa inapinga ushahidi huo. Kama ushahidi wa awali ulipikwa vizuri ni vigumu sana kusiadia na rufaa yoyote hata ya mahakama ya dunia. Kushindwa katika rufaa maana yake ni kuwa hukumu ya awali ilitafsiri ushahid vizuri, haka kama ulikuwa ushahidi mbovu.
(2) Katiba ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania inampa Raisi mamlaka ya kumsamehe mfungwa yeyote katika hukumu yoyote ile hata hukumu ya kunyongwa bila kujali kosa lake.
 
Back
Top Bottom