Kesi ya Babu Seya na wanae - Ukweli ni upi haswa?

haya maelezo ya kupangwa kabisa 7yrs nyuma hapawezi himili mtanange wa mtu mzima ingegundulika siku 2 kwa ukaaji wao.

hii kesi tangu mwanzo huwa siiamini hasa baada ya kufungwa wale majanki na wakakutwa hawana hatia. (akiye plani tukio alitaka familia nzima iozee jela)

ntakuwa wa 3 kutoka mwisho kuamini hili
Zipompa hili xoezi lilipangwa tena kwa ustadi mkubwa, lkn walisahau nyakati za nchi hubadilika kwa anaeingia, raisi wetu alipoingia madalakani aliambiwa na wanaichi awatoe, na wsnaichi hao hao ndo waliompa urais wa nchi, so na tangu aingie hajawahi kuliongelea hata kwa utani ingawa anapenda utani,, usalama ulianza kulifatilia kwa uksribu bila kuvujisha taarifa, na ikabainika ni kitu kilitengenezwa, na hata lowassa analijua hilo, ndomaana lowassa alisema kesi yao itazamwe upya iwapo atashika hatamu,
 
Sina hakika kama issue ya Mzee Nguza Viking na wanae iliwahi kukatwa hapa, by then ilipokuwa hot nilikua sija join JF. Kwanza kabisa lazima niseme kwamba sifagilii kabisa vitendo vichafu vya aina yoyote ile kwa watoto na kama kweli walifanya hayo wanayotuhumiwa kufanya- they deserve to rot in jail.

Wikiend hii nilibahatika kukutana na mtu ambaye alitoa ushahidi kwenye hii kesi (Mwanamuziki na rafiki wa karibu wa Papii) na my feelings kwamba hawa jamaa walikua stitched up zimezidi kukua.Baadhi ya mambo aliyoniambia ni pamoja na kwamba baadhi ya tarehe na saa ambazo Papii anatuhumiwa kushiriki kwenye huo ufirauni- hakuwepo kabisa jijini Dar na hata pale alipokuwepo Dar, alikua yuko jukwaani akifanya kile anachopenda kufanya.Jambo jingine la kushangaza pia ni usiri mkubwa wa jinsi ambavyo kesi hiyo iliendeshwa, na chanzo changu cha habari kinaamini kwamba kwa sababu hii ushahidi mkubwa na wa maana umetiwa kapuni.Hadi leo huyu jamaa anamtembelea Papii gerezani na anasema huwa anagoma kula kwa siku kadhaa na kushinda akilia tu, anatamani afe kuliko kuendelea kuishi na machungu ya uonevu aliofanyiwa yeye pamoja na nduguze.

Nimesikia mengi kuhusu hii kesi- ambalo ni common kwa wengi ni kwamba Mzee Nguza aliingia anga fulani za Waziri mmoja wa serekali ya sasa na waziri huyo aliahidi kumkomesha- yeye pamoja na familia yake.Kuna baadhi wanasema sio Waziri ni Balozi fulani. Kwa jinsi nionavyo mimi, inawezekana labda watoto wakafanya kitu kama hiki peke yao bila baba yao and the vice versa is possible.Lakini kweli inaingia akilini kwa mzee mzima wa kiafrika kufanya huo upuuzi mbele ya wanae huku wakipokezana tena kwa kitoto kidogo?

Rumours zimekua nyingi kwenye hii kesi - kuna yeyote anayeujua ukweli wa hii kesi? I understand kwamba hawa jamaa walikata rufaa na ikatupwa, is there any other way anyone can help them?

=====
Kuhusu hukumu, soma Babu Seya, Papii Kocha wafungwa maisha

UPDATE:

Hatimaye waachiliwa kwa msamaha wa Rais. Habari zaidi soma...

Breaking News: - Mwanamuziki Nguza Viking (Babu Seya) na Mwanaye Johnson Nguza (Papii Kocha), watoka jela kwa msamaha wa Rais Magufuli
kweli miaka inaenda!! wachangiaji wote page 1&2 hawapo tena JF!! na walikuwa vichwa kweli kweli,daah kuna dira flani imepotea JF
 
"nafikiria ndani ya box.,kwa nini watu wajichoshe kukusanya watoto 10..awafundishe uwongo wa kumsingizia Babu Seya..!?

'ilhali Seya wangeweza kwenda jela kwa 'teknik' nyingi tu rafiki..tena za siri zaidi.!'

'maswali ya mawakili huwa ni 'hatari' pasua kichwa.Wakili Msomi Mabere Nyaucho Marando na jopo lake nzima hawakumwakilisha vyema Babu Seya?'

Ibara ya 45 ndio imemtoa,upepo ukibadilika;atarejea tena.!!
 
Inawezekana walikuwa trained kusema hayo. Hii kesi ina ukakasi mwingi sana. Ila tungeamini maamuzi ya mahakama na hawa wabakaji wangeendelea kukaa huko.
nilishawahi kuwa prosecutor. kati ya vitu vigumu kufanikiwa ni kumfundisha mtoto aseme uongo. ujue mtoto huyo ametoka home na wazazi na kabla hajaja kutoa ushahidi wazazi wake wameshakaa naye. ni mzazi gani anaweza kukubali mwanae afundishwe tabia mbaya ya kubabikiza watu kesi? kama wanafundishwa ujue hadi wazazi wangeligundua. pia ujue wazazi lazima waliwachunguza hao watoto wakaona hawana bikira, na nyuma hakuna marinda....na wanasema (kwa walioona/chunguza miili yao) walikuwa na vidonda na waliharibika kabisa. hapo wameshakuwa vilema na ukubwani hawataacha kutumia mlango wa nyuma maisha yao yote. try to imagine kama ndo angekua mwanao ungejisikiaje,....na je, una watoto? subiri watoto wako watakapofanyiwa hivyo ndio utajisikia uchungu mzuri ambao faru john hawezi kuuhisi kabisa.
 
Kesi za namna hii huwa znatokea na watu hutumikia vifungo vyao bila tabu...lkn mbn kwa kesi ya hawa watu imekuwa na ukakasi saaana, ww huwezi kujiuliza kulikoni!?
 
nilishawahi kuwa prosecutor. kati ya vitu vigumu kufanikiwa ni kumfundisha mtoto aseme uongo. ujue mtoto huyo ametoka home na wazazi na kabla hajaja kutoa ushahidi wazazi wake wameshakaa naye. ni mzazi gani anaweza kukubali mwanae afundishwe tabia mbaya ya kubabikiza watu kesi? kama wanafundishwa ujue hadi wazazi wangeligundua. pia ujue wazazi lazima waliwachunguza hao watoto wakaona hawana bikira, na nyuma hakuna marinda....na wanasema (kwa walioona/chunguza miili yao) walikuwa na vidonda na waliharibika kabisa. hapo wameshakuwa vilema na ukubwani hawataacha kutumia mlango wa nyuma maisha yao yote. try to imagine kama ndo angekua mwanao ungejisikiaje,....na je, una watoto? subiri watoto wako watakapofanyiwa hivyo ndio utajisikia uchungu mzuri ambao faru john hawezi kuuhisi kabisa.
Wacha umbea
 
Hivi Inamaana hawa akina Babu Seya hawakuwa na Mawakili wa kuwatetea hadi Wakatiwa hatiani kwa Ushahidi wa Kubumba?
Tena wa kubumba hasa, ila baadhi ya majirani wa hawa watoto wanajua nini kilikuwa kinaendelea jamani kwa nini tunakuwa wagumu kuelewa? Mtoto analia "baba sijafanya hivyo baba anamwambia nimekwambia ukaseme hivyo" majirani wanasikia, pia kuna mwalim mmoja wa hiyo shule RIP alisema ,"hivi watoto wa hizi shule zetu wakichukuliwa na kupimwa wangapi watakutwa wazima?, Chumba kimoja baba, mama na watoto humo humo na bado wazazi wanaendelea kuzaa hivi hawa watoto wote wanakuwa wamelala?" Binafsi sidhani kama Raisi amekurupuka hapo, kwani Lowasa aliposema atawatoa tukumbuke alikuwa kwenye system kabla hajahama bado na yeye alikurupuka? Si katika kuomba kura, alijua anaongea nini. Wametoka waachwe wapumzike mkuu.
 
Mwambie DDP amkamate tena.
I state lnterlia that,whatever reasons thereof,the powers of DPP were graduated when the culprits were convicted and sentenced to life imprisonment and both the conviction and sentence upheld by the court of Appeal.
 
"nafikiria ndani ya box.,kwa nini watu wajichoshe kukusanya watoto 10..awafundishe uwongo wa kumsingizia Babu Seya..!?

'ilhali Seya wangeweza kwenda jela kwa 'teknik' nyingi tu rafiki..tena za siri zaidi.!'

'maswali ya mawakili huwa ni 'hatari' pasua kichwa.Wakili Msomi Mabere Nyaucho Marando na jopo lake nzima hawakumwakilisha vyema Babu Seya?'

Ibara ya 45 ndio imemtoa,upepo ukibadilika;atarejea tena.!!
Hawezi rejea ,res judicata inakataa
 
nilishawahi kuwa prosecutor. kati ya vitu vigumu kufanikiwa ni kumfundisha mtoto aseme uongo. ujue mtoto huyo ametoka home na wazazi na kabla hajaja kutoa ushahidi wazazi wake wameshakaa naye. ni mzazi gani anaweza kukubali mwanae afundishwe tabia mbaya ya kubabikiza watu kesi? kama wanafundishwa ujue hadi wazazi wangeligundua. pia ujue wazazi lazima waliwachunguza hao watoto wakaona hawana bikira, na nyuma hakuna marinda....na wanasema (kwa walioona/chunguza miili yao) walikuwa na vidonda na waliharibika kabisa. hapo wameshakuwa vilema na ukubwani hawataacha kutumia mlango wa nyuma maisha yao yote. try to imagine kama ndo angekua mwanao ungejisikiaje,....na je, una watoto? subiri watoto wako watakapofanyiwa hivyo ndio utajisikia uchungu mzuri ambao faru john hawezi kuuhisi kabisa.
Huu siyo utetezi,ni argument ya layman
 
haya maelezo ya kupangwa kabisa 7yrs nyuma hapawezi himili mtanange wa mtu mzima ingegundulika siku 2 kwa ukaaji wao.

hii kesi tangu mwanzo huwa siiamini hasa baada ya kufungwa wale majanki na wakakutwa hawana hatia. (akiye plani tukio alitaka familia nzima iozee jela)

ntakuwa wa 3 kutoka mwisho kuamini hili
Siku ile ile mkuu angewazaje kutoka mle ndani? Huyo Mkubwa mwenyewe siku ya kwanza ngoma nzito itakuwa hivi vimalaika.
 
Back
Top Bottom